Massele: Serikali yetu ni Dhaifu katika Usimamizi wa sheria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Massele: Serikali yetu ni Dhaifu katika Usimamizi wa sheria

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtoto Wa Mbale, Sep 21, 2012.

 1. Mtoto Wa Mbale

  Mtoto Wa Mbale JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: May 15, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Naibu waziri wa nishati na Madini Mh. Massele amewaambia watanzania kwamba serikali ya ccm ni dhaifu katika usimamizi wa sheria. Akizungumza katika kipindi cha kipima joto cha ITV, mh Masele ameelezea masikitiko yake kutokana na raia mmoja wa kigeni kufanikiwa kutorosha kiasi kikubwa cha madini nje ya nchi licha ya kupata taarifa na kuviamuru vyombo vya usalama kumkamata raia huyo bila mafanikio. Kwa udhaifu huo nchi imekuwa ikipoteza mabilioni ya fedha ambazo zingetumika katika maendeleo ya wananchi.

  My take:
  Kutokana na udhaifu huo wa serikali, ni vyema ccm ikawekwa pembeni kwa sasa ili kuinusuru nchi yetu na janga kubwa zaidi la wizi na ufisadi katika sekta zote za uchumi wa nchi yetu.
   
 2. M

  Makaayamawedili Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 12, 2012
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nipo jimboni kwake hapa kuna wasukuma wananiambia kuna mtoto wa kigogo mmoja ananunua pamba kwa bei ya kuwalangua wakulima Tsh 600 kwa kilo last year ilikuwa 1000-1200, na maroli yake yanapishana kama daladala za kwenda Kivukoni. Hii inchi noma, Tembea ujionee
   
 3. j

  jigoku JF-Expert Member

  #3
  Sep 22, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Kwani mnadhani wao hawajui kuwa serikali ya ccm ni dhaifu?wanalijua hilo isipokuwa ni ubishi na taama ya mali na madraka vinawasumbua,wamekiri hata na yule mkaguzi,ila waliniudhi sikutaka kuendelea kuwasikiliza maana walikuwa wanatoa utumbo wa kuku tu,huwezi hata kuchemsha supu
   
 4. MSHINO

  MSHINO JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2016
  Joined: Jul 26, 2013
  Messages: 856
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  MHH
   
 5. moshi vijijini

  moshi vijijini JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2016
  Joined: May 14, 2015
  Messages: 2,911
  Likes Received: 844
  Trophy Points: 280
  Masele yupi maana yupo mwigizaji
   
 6. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2016
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Yuko wapi huyu dogo wa srand united jamani
   
 7. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2016
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 25,563
  Likes Received: 16,531
  Trophy Points: 280
  Duh!Siku hizi utumbo wa kuku unapikwa supu labda utumbo wa mende au panya.
   
 8. M

  Mkirindi JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2016
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 3,343
  Likes Received: 967
  Trophy Points: 280
  Jee anawalazimisha kwa nguvu kumuuzia hizo pamba kwa bei chee, au ndio bei ya pamba sokoni. Mi naona hiyo ni biashara wewe kama mwenye Mali na ukapewa bei na ukaikubali, basi hiyo ni hiari yako. Lakini kama kuna ulazimishaji hapo ndipo ingekuwa ni jipu.

  jee anayenunua ni peke yake au ni soko huru?
   
Loading...