Serikali ya Magufuli na mchuano wa watumishi hewa Vs watumishi fake

Director D

Senior Member
Feb 24, 2016
192
229
Inawezekane Vijana Wanalalamika Mitaani Kwa Kukosa Ajira Na Wakati Kuna Wajanja Wachache Wanaifaidi Hii Nchi Kwa Kujipatia Mishahara Maradufu Hili halikubaliki hata kidogo.

Najiuliza sana kuhusu suala hili la watumishi fake watu hawa wanapata wapi ujasiri huu na je huwaza nini hasa juu ya hatima yao katika huo utumishi wao tuacheni utani kwenye vitu serious, Masuala Haya Ya Watumishi Hewa Na Fake Ni Nini Hasa Chanzo Chake Na je nini kifanyike kwa ajiri ya kutokomeza kabisa skendo hizi na kubaki kuwa historia katika nchi yetu.
 
Back
Top Bottom