sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,487
Mikataba tata mingi ambayo imeleta sintofahamu na vurumai katika serikali ya awamu ya 3 na ya 4 kama KAGODA, MEREMETA, RICHMOND, DOWANS, ESCROW zote hizi ni kampuni zilizokuwa au zinazohusiana na uzalishaji wa umeme ambapo msambazaji ni TANESCO.
Bidhaa kubwa inayotokana na makampuni haya yanayotuhumiwa kwa ufisadi ni ''UMEME'' pengine kwa kuwa umeme ni bidhaa inayotumiwa na Watanzania sehemu mbalimbali na kila mwezi kulikuwa na hiyo ''SERVICE CHARGE'' kwa kila aliyejiunganishia umeme.
Je kwa kufutwa kwa service charge, itakuwa mwisho wa hii mikataba tata?