Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Katika maisha Binadamu Hupitia hatua 3 muhimu sana. Huanza na 1. utoto. 2. ujana/utu uzima 3. uzee. VIVYO HIVYO KWENYE SIASA. 1. kipindi hiki ubongo wa mtoto huwa unakuwa haujakomaa na ndo maana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Redirect
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amemjibu katibu mkuu wa zamani wa CCM, Yusuf Makamba aliyemtuhumu kuwa ni mwongo akisema leseni yake ni ya kuendesha magari makubwa na siyo...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Taarifa kutoka kwa Maofisa wengi wa Polisi ninaowafaham wamesema kuwa kumekuwa na watu wengi wakimiminika vituoni mwao kufungua mafaili ya kupotelewa vyeti vya kidato cha nne,cha sita na wengine...
0 Reactions
Replies
Views
Kwa muda mrefu niliamini kuwa CCM ilivyo sasa siyo tu haiwezi kuongoza mabadiliko lakini pia haipaswi kuongoza mabadiliko hayo. Sababu kubwa ni kuwa CCM ilikuwa ni moja; ilikuwa ni chama chenye...
8 Reactions
85 Replies
13K Views
  • Redirect
Mpaka sasa mitaa inalia kwa sababu ya maisha magumu Wale wa vijijini wanaokolewa na watu wa mjini Elimu bure lakini bado kuna michango ya misosi huko shuleni Madaftari kalamu pen penseli na vifaa...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
katika kile kilichotafsiriwa kama kumjibu makamba gwajima amesema kua yeye ni kama dereva mwenye leseni ya kuendesha gari kubwa hivyo kuanza kujibizana na makamba ni kama kuacha gari kubwa na...
0 Reactions
Replies
Views
Sisi yetu macho na masikio tu. Ni marudio ya Mkutano Mkuu wa CCM hasa hotuba ya Magufuli baada ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa chama hicho. Hotuba yake ndio inaendelea kwa sasa.
2 Reactions
33 Replies
3K Views
  • Redirect
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amemjibu Katibu Mkuu wa zamani wa CCM, Yusuf Makamba aliyemtuhumu kuwa ni mwongo, akisema leseni yake ni ya kuendesha magari makubwa siyo...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
MAGUFURI HAKUWA NA MAANDALIZI YA KUIONGOZA NCHI HII AMEPATA TU NAFASI HII KAMA ZALI FLANI HIVI LEO HII WATZ WAMEONA MAISHA YAKUWA KUWA MAGUMU AJIRA HAKUNA ANACHOKIANGALIA YEYE NI BORA LIENDE HII...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
1. Ukitaka kuachana na Inzi tupa kibudu-Mpendazoe 2. Ng'ombe akikatwa mkia machungani hanyimwi kuingia zizini ila N'gombe wengine wote watajua mwenzetu hana mkia.-John Magufuli 3. Jakaya...
11 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Lowassa aliwaambia muitishe Kikao cha dharura cha Kamati Kuu ili pamoja na mambo mengine kuhusu Mkutano Mkuu wa CCM, mtoe tamko kali kwa sababu CCM wangefanya Mkutano wa kumtambulisha Mwenyekiti...
0 Reactions
Replies
Views
Nimewaza sana ni kwa nini tunakosa vionjo muhimu kwenye Uchaguzi huu nimegundua vyama vyote vinatembea na wanahabari ambao wamewagharimia wenyewe zaidi ya kutegemea maripota waliopo mikoani. Hii...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mheshimiwa Rais, labda hili litakuwa gumu kidogo kwa wewe kuligundua maana viongozi wote wanapopita pale uwanjani huwa hawatumii njia na process hii ambayo sisi watu wa kawaida na wageni wanaotoka...
34 Reactions
200 Replies
26K Views
TUNAIBIWA Habari,tangu miaka karibia kumi mzungu aingie na kuanza kuchimba makaa ya mawe,mheshimiwa Rais aliyepita aliahidi 2012 tungetengenezewa umeme Mkubwa unaotokana na makaa hayo ya mawe...
1 Reactions
2 Replies
735 Views
Akihojiwa na voice of America katika kipindi cha Straight Talk Africa, ndugu Emanuel Kawishe msemaji wa NEC amesema hajui hiyo data ya wapiga kura milioni 28 Kikwete aliipata wapi lakini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni wazi kabisa wasiwasi umetanda kila mahali kuhusu Magufuli kukabidhiwa CCM kama mwenyekiti wake!ni mashaka tupu Hii inatokana na ukweli kwamba magufuli sio mwanasiasa na hajui kuremba maneno...
14 Reactions
52 Replies
6K Views
Jana nimeshudia tambo za wapambe pale Dodoma na makada wa ccm kiasi kwamba zimezidi kupita kiasi. Inaelekea sasa ccm inashindwa kutofautisha kati ya serikali na chama cha siasa. Kilicho nistua...
11 Reactions
42 Replies
4K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Mashujaa Leo Julai 25.2016 katika viwanja vya Mashujaa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau, amani iwe kwenu. Taarifa za kuaminika kutoka Ufipa zinadai kuwa Kamati Kuu ya CHADEMA iliyoanza kikao chake jana na kitamalizika leo, wamechanganyikiwa sana baada ya wajumbe wa Mkutano...
11 Reactions
109 Replies
9K Views
Back
Top Bottom