Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Ndugu waandishi wa habari kwanza tunawashukuru kwa kazi kubwa mliyoifanya kwa kuwaeleza Watanzania adhima yetu ya kwenda Dodoma, katika kuhakikisha BAVICHA tunaisimamia kauli Jeshi la Polisi na ya...
6 Reactions
153 Replies
16K Views
tarehe 23 July akipewa uenyekiti watu wengi watatimkia CCM Mpya iliyojaa uadilifu mkubwa!!sisi wote wenye mapenzi mema na taifa letu tujumuika kwa wingi!!! Mungu mbariki Rais wetu ,Mungu ibariki...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Nadeclare interest kabisa mimi ni mwana ccm nina kadi ya chama iliyo hai kabisa kwamaana nailipia vizur. Pia katika mchakato wa mwaka jana nilimuunga mkono Lowasa kupeperusha bendera ya CCM...
0 Reactions
2 Replies
884 Views
  • Redirect
Katika kuelekea siku ya mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi tarehe 23/07, ambao ni mkutano mkuu wa"UTAMADUNI" (maana haupo kikatiba), Mwenyekiti wa sasa Mheshimiwa Kikwete anatarjiwa kutoa hotuba...
1 Reactions
Replies
Views
Polisi mkoani Singida wanamsaka mtu mmoja aliyesababisha kifo. Mtu huyo alisababisha kifo cha Mzee wa miaka 70 aliyemfanyia upasuaji wa tezi dume. Maoni yangu: Mtuhumiwa alifanyaje vipimo vya...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika kuelekea siku ya mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi tarehe 23/07, ambao ni mkutano mkuu wa"UTAMADUNI" (maana haupo kikatiba), Mwenyekiti wa sasa Mheshimiwa Kikwete anatarjiwa kutoa hotuba...
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Hawa polisi wetu kumbe Polisi Uchwara tu, leo katika mizunguko yangu nimejaribu mara kadhaa kuwapa polisi wetu kifuta jasho na vumbi chaa Sh.5000/- walichoruhusiwa na Rais na wakamshangilia...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Sijawahi kuwa mwanachama wa chama cha siasa.. Nilitamani sana mabadiriko ktk taifa langu.. CCM ya kabla ya JPM sikuipenda sababu ya kunyong'onyea ktk dira.. JPM ameonyesha nia ya dhati ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
*NIUPATE WAPI MOYO WA JAKAYA NISIUGUE PRESHA?* Hatimaye Rais Mstaafu na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa anakwenda kukabidhi hadhi na Madaraka ya juu kabisa ya Chama kwa Rais wa sasa John...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Rais Mstaafu JK amekubali ombi la Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji, kushiriki katika mazungumzo ya kusaidia amani nchini Msumbiji. MY TAKE; Ni JK huyuhuyu ndiye alishirikiana na Dk. Shein na vyombo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Safi TOT kwa ubunifu. Wanatetemeka. Sebene murua kabisa
0 Reactions
1 Replies
975 Views
TURKEY walimu zaidi ya 15000 waeachishwa kazi na baadhi ya. Maprofesa vyuoni wameambiwa wajiuzuru bila sababu zozote za msingi zaidi ya ukosefu wa fedha,nawaza hili la Uturuki likija Tanzania watu...
0 Reactions
0 Replies
709 Views
Dah siyo mwandishi mzuri ila na amini wazo langu litafika,kutokana na tatizo la ajira lililopo katika nchi yetu pendwa TANZANIA, KWANZA NAPENDA NIKUMBUKE KITABU KIMOJA SIJUI MWANDISH WA KITABU...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
SWALI Ni kwanini tunapandisha viwango vya ufaulu kuingia chuo kikuu huku bado tuna idadi ndogo ya wahitimu wa shahada mbali mbali kulinganisha na nchi zote kubwa Afrika Mashariki? Inamaana...
4 Reactions
54 Replies
7K Views
Wakuu Nawasalimu Sana. Kama ilivyo ada mkuu wetu wa nchi ameendelea kutoa kauli ama tata au za kuudhi katika hotuba zake, suala la watalii ni mtambuka na linahitaji weledi mkubwa sana...
9 Reactions
52 Replies
6K Views
Turks living in Tanzania call for closure of Gülen schools, condemn the coup attempt DAILY SABAH ISTANBUL Published 23 hours ago The Turkish community living in the eastern African country of...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kumsifia Rais kwa utendajiwake Ni jambo la hekima na busara kubwa. Si rahisi kwa wapinzani kufanya hili jambo. Hongereni Sana, dhana kuwa wapinzani kazi Yao Ni kupinga Kila kitu kweni imekuwa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
wandugu nasikia kikao cha kumchagua mwenyekeiti ccm na kabla hajachaguliwa nimesikia jina lake,,,sasa kwa nini asifute hicho kikao ili kubana matumizi na tayari anajulikana tu ni yeye.. ebu...
0 Reactions
3 Replies
950 Views
WAKATI baadhi ya wanawake wakililia kupata walau mtoto mmoja, wapo wanaoamua kukatisha uhai wa viumbe hivyo vikiwa vingali tumboni kwa kuharibu mimba. Utafiti uliofanywa hapa nchini mwaka 2013 na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hii nchi ilikokuwa imefikia karibu kila mtu alishafanya ufisadi kwa njia moja au nyingine, kwa kupitia mikataba kutokujua, kwa kujua au kupitia wasaidizi wake, ningekuwa mimi kitu ambacho...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom