Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
1. Idd Amini - Alipoivamia Tanzania.... Mwalimu alitamka tutampiga nduli!.. Na kweli Idd Amini alipigwa hadi akaikimbia Uganda.... 2. Kolimba - Alipotamka CCM imepoteza Dira na Mwelekeo...
6 Reactions
Replies
Views
Falsafa ya Chama Falsafa ni fikra na mtazamo wa Chama ambayo ni kuamini katika "Nguvu na Mamlaka ya Umma" (The People's Power) katika kumiliki, kuendesha, kubuni, na kuendeleza maamuzi, mawazo...
8 Reactions
232 Replies
22K Views
1) Utamaduni -Tukekete Sheria - Tusikekete 2) Utamaduni - Tunywe Gongo Sheria - Tusinywe Gongo 3) Utamaduni - Tupige lamri Sheria - Tusipige lamri 4). Utamaduni -...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ali Muhsin Barwani wakati wa kupigania uhuru wa Zanzibar [5:06pm, 13/02/2016] Badru: [5:06pm, 13/02/2016] Badru: [5:06pm, 13/02/2016] Badru: [5:06pm, 13/02/2016] Badru: [5:06pm, 13/02/2016]...
0 Reactions
2 Replies
9K Views
Nimekuwa nikiona barua nyingi toka Ikulu hasa humu jukwaani zikiwa na maelekezo ya Rais na zimesainiwa na Msemaji wa Rais. Hivi ni kwanini hizi barua hazina namba ya kumbukumbu kama barua...
2 Reactions
43 Replies
34K Views
Naomba kuuliza mwenye taarifa sahihi kuhusu safari ya Dodoma ya kuzuia mkutano wa CCM tarehe 23 kama bado ipo au wameghairi, wiki iliyopita BAVICHA walisema hawatarudi nyuma.Wiki hii naona wapo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi! Wapendwa Watanzania wenzangu naimani sote tunakumbuka kuwa Mh. Waziri Mkuu Mstaafu, Edward lowassa, aligombea nafasi ya Urais kupitia CHADEMA na kuungwa mkono na vyama...
0 Reactions
9 Replies
803 Views
  • Redirect
Kuna taarifa kutoka chanzo kimoja cha siasa kilicho karibu na nguli wa siasa nchini tanzania mzee lowassa , huenda akawa ni mmoja wapo wa wageni watakao hudhuria shughuli hiyo ya kukabidhiwa...
4 Reactions
Replies
Views
Kuna thread humu JF, inayosema CCM mpya yaja na kazi yake kubwa itakuwa kuwaondoa mafisadi na wasaliti.Nimekuwa najiuliza kumbe CCM inajijua kuwa ndani yake kuna mafisadi? Niliamini in chama safi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
  • Redirect
Ivi huyu mzee alisharudisha kadi? Ana npango gan? Maana bado anamamluki ndani ya chama Nasikia 23 atahudhuria ingawa UKAWA wamekana kuhudhuria maana yake anasauti zaid yao
1 Reactions
Replies
Views
Utaratibu wa kuajiri watumishi/wafanyakazi wapya umekuwa chanzo cha kukwamisha mageuzi chanya/maendeleo ktk nchi hii. Kigezo cha "uzoefu/experience ya miaka kadhaa" kimekuwa kikichangia kubakiza...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Rais wangu unayeonyesha njia. Naomba niseme hakuna kitu kibaya kama mtu muelewa anapoonyesha ujinga kwa amkusudi. Ma-profesa wanaongoza taasisi za elimu ya juu, taasisi ambazo kwa wengi wetu ndo...
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Nafikiri kukishauri chama kirekebishe katiba kwenye suala la uongozi wa Mwenyekiti kwamba mwenyekiti lazima awe rais. Maana inaonekana ineandaliwa kwa kila ifikapo kuchagua kiti hiki tunatakwa...
1 Reactions
1 Replies
818 Views
  • Redirect
JPM – POLISI ACHENI UWOGA USIO NA TIJA ,MAGARI YA VIGOGO PIA MUYAKAMATE[emoji5] [emoji5]
1 Reactions
Replies
Views
Mmoja kati ya Mawaziri ninaowakubali sana Makame Mbarawa (PhD) akiwa kazini site! Full Upendo kwa watu wetu! Br. ya Njombe -Makete (km 109) kujengwa na kwa kiwango cha lami! Picha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa sasa tunaweza kuiona serikali japo siyo kwa macho bali kwa utendaji wake.Wakati wa mwalimu ilikuwa ukimuangalia tu mtu utajua aidha huyu ni mtumishi wa umma, askari au mwanasiasa.Niseme tu...
0 Reactions
1 Replies
453 Views
Baada ya ndugu Mrema kupewa uenyekiti wa bodi ya parole (sijui Kiswahili chake ni nini) na huku ikionekana nafasi zinaanza kuisha kuna ndugu mmoja anakumbushia ahadi uliyompa ya kwamba ukipata...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanaukumbi habari. CHADEMA, waanze kwanza kupigania Demokrasia ndani ya Chama chao ndiyo waje kwenye Taifa. Mbowe kaanza kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wakati huo Jakaya Kikwete, akiwa Waziri wa...
13 Reactions
120 Replies
8K Views
USHAURI KWA UONGOZI MPYA WA CCM UNAOTARAJIWA KUSIMIKWA RASMI TAREHE 23/07/2016. Kwanza binafsi ninafuraha kuona siku zimebaki chache za kamanda wetu na Rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni jambo jema na la kuungwa mkono kuhakiki watumishi,wanafunzi wa vyuo vikuu pamoja na kuhakiki vyeti vya watumishi wa serikali. Swali langu:Ni lini Deni la Taifa nalo litahakikiwa?
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom