Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,957
- 6,693
Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemfutia uanachama wa Chama hicho leo Agosti 26, 2026 aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmannuel Nchimbi ambaye alitangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa jana Agosti, 25, 2026.
=============
Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemteua Deogratius Ndejembi kushika nafasi ya Makamu wa Rais, nafasi ambayo ilibaki wazi baada ya aliyekuwepo, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kutangaza kujiuzulu 25, Agosti 2026.
Tuseme watamtangaza alichukua nafasi ya Nchimbi.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt Asha - Rose Migiro atazungumza na waandishi wa habari leo.
Muda, Tarehe na Eneo:

- Tarehe: 26 Agosti 2026
- Muda: Saa 3:30 Usiku
- Mahali: Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM - Lumumba