Dr. Mbuyiseni Ndlozi: Who Gave You Power Mama Samia?

Dr. Mbuyiseni Ndlozi: Who Gave You Power Mama Samia?

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,008
Reaction score
64,022
- Dr. Mbuyiseni Ndlozi. He raises concerns about Tanzania's recent disputed elections that claimed many youthful lives. He asks why Tanzania President Suluhu Hassan was invited to the recent SADC summit in spite of the events in Tanzania. Ndlozi argues that democratic principles must apply regardless of political affiliations.

View: https://youtu.be/VH8KemqTLQA?is=5XBa34jREg45mSIz
 
View attachment 3655435
“This guy is asking to be kidnapped.”
 
TOKA MAKTABA
18 August 2026
Durban, South Africa

Mkutano wa SADC 46 alioukimbia Samia Hassan mitaa ilipambwa kwa picha za Samia zilizozidi kuwakutia hasira raia wapenda haki ya watu kuishi wa nchi za SADC ambao wanaendelea kulaani mauaji ya 29 Oktoba 2025 na kutaka Samia awajibishwe
1787481524662.png
 
- Dr. Mbuyiseni Ndlozi. He raises concerns about Tanzania's recent disputed elections that claimed many youthful lives. He asks why Tanzania President Suluhu Hassan was invited to the recent SADC summit in spite of the events in Tanzania. Ndlozi argues that democratic principles must apply regardless of political affiliations.
View attachment 3655435

View: https://youtu.be/VH8KemqTLQA?is=5XBa34jREg45mSIz

Sheikh Kombo na wizara ya mambo ya nje ya Tanzania inasema taswira yetu inazidi kungara nje ya mipaka yetu ya Tanzania na hivyo kuongeza ushawishi kidiplomasia.

Na kuwa watawala wanaweza kutembea nje ya nchi kifua mbele kwa uongozi bora wa kidemokrasia usio kuwa na doa lolote lile la damu ya watu .

15 August 2026

TANNZANIA NA DIPLOMASIA YA KIKANDA CHACHU YA KUKUZA UCHUMI WA AFRIKA
AU EAC SADC COMESA

View: https://m.youtube.com/watch?v=rVUhY-Ka1fE

TOKA MAKTABA :
11 August 2026
Dodoma

KOMBO - WIZARA YA MAMBO YA NJE NI KIUNGO MUHIMU KATIKA MAFANIKIO YA SERIKALI YA SAMIA HASSAN KUNGARA KIKANDA NA KIMATAIFA
1787482257893.png

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema kuwa Wizara kupitia Balozi zake duniani imekuwa kiungo muhimu cha kufanikisha na kuchochea mafanikio ya Serikali katika sekta zote nchini, iwe kilimo, uchukuzi, biashara au nishati.

Waziri Kombo amesema hayo wakati wa kikao kati ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU) na Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kilichofanyika chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Najma Murtaza Giga Katika Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma Agosti 11, 2026.

“Kwa ufupi balozi zetu zinahusika na kila chembe ya mafanikio yanayoonekana hapa nchini ikiwemo upatikanaji wa fedha za ujenzi wa miundombinu kama vile reli ya kisasa, ununuzi wa ndege, upatikanaji wa vibali vya safari za ATCL, makusanyo ya maduhuli kupitia utalii na mauzo ya visa kwa wageni na upatikanaji wa fursa za uchumi wa buluu”, alisema Waziri Kombo

Balozi Kombo aliendelea kueleza kuwa Wizara kupitia Balozi zake imetekeleza majukumu yake ya msingi kwa kuzingatia Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001, Toleo la Mwaka 2024 na kufanikiwa kupata mafanikio makubwa kwa manufaa ya nchi.

Mafanikio hayo ni pamoja na kupanua wigo wa uwakilishi, kuongezeka kwa fursa za biashara na uwekezaji wa moja kwa moja kutoka nje, kuimarika kwa uhusiano wa uwili, upatikanaji wa misaada na mikopo yenye masharti nafuu pamoja na kukua kwa matumizi ya lugha ya Kiswahili duniani.

Kwa upande wao, wajumbe wa Kamati wameipongeza Wizara kwa kazi nzuri inayofanya katika kuimarisha diplomasia na kulinda maslahi ya Tanzania na kuitaka kuongeza juhudi ili diplomasia ya Tanzania iendelee kung’ara duniani
 
- Dr. Mbuyiseni Ndlozi. He raises concerns about Tanzania's recent disputed elections that claimed many youthful lives. He asks why Tanzania President Suluhu Hassan was invited to the recent SADC summit in spite of the events in Tanzania. Ndlozi argues that democratic principles must apply regardless of political affiliations.
View attachment 3655435

View: https://youtu.be/VH8KemqTLQA?is=5XBa34jREg45mSIz

Dr Ndlozi how did you manage to kill innocent Africans and chase them out of South Africa like burukenge and then later on you come out and act as African saint towards Africans countries?

I think that's high level of hypocrisy among Africans 🐒
 
Kila kona ya dunia anazidi kukataliwa tu huyu muuaji.Anasifiwa na wazanzibari tu
Tatizo kubwa kwake ni kwamba hajawahi kuonyesha hata chembe ya majuto kwa mauaji yale ya maelfu ya Watz wenzake. Yeye hujigamba kuwa ametuliza ghasia nchini.

Ona aibu hii sasa. Anawezaje kuketi na Marais kujadili Demokrasia ndani ya SADC wakati akijuwa wazi kuwa yeye ni zao la ukandamizaji wa Demokrasia kwa kuua maelfu ya Vijana wadogo wa nchi yake mwenyewe. Ili tu aweze kutangazwa Rais!! Waliokaribu nae wamueleze ukweli. Anaifedhehesha nchi yake kwa tamaa za kidunia. Utulivu ni tofauti na amani. Huwezi kuwa na amani wakati nchi imetapakaa dhuluma ya haki na uhai wa watu. Kilichopo ni utulivu tu.

Tanzania iliyokuwa ikiheshimiwa kwa kupigania Uhuru wa Kweli Kusini mwa Afrika. Leo Kiongozi wake anaambiwa eti ana mwili wenye ngozi nyeusi kama Muafrika lkn moyo wake ni mweupe kama wa Wakoloni weupe wakati ule wa utawala wao.
 
Wajinga hawakosekani sehemu yoyote

Muhimu Rais Dk Samia Suluhu Hassan hatafika popote na Wapumbavu watakaa mbali na RAIS DK SAMIA SULUHU HASSAN popote Apendapo kwenda👈

Wapinzani huwezi kuwakosa
popote l👈

kn ilo haliwezi kusumbua Diplomasia ya nchi mwenyeji na Tanzania

Wapinzani watabaki
Wapinzani 🫎🫎🫎✍️
 
Mambo ya Tanzania wao yanawausu nini

Mbona Mu7 Kagame hakuna Demokrasia yoyote kwenye yale Mataifa lkn Wapinzani wamekaa kimya🫎🫎

kwanini iwe Tanzania tu✍️
 
Yatakuwa mapinzani Uchwara kama ya Bongo kazi yao kukamua wananchi kupitia tone tone 🫎Shubamit
Wapinzani au matonya😂😂
 
Mambo ya Tanzania wao yanawausu nini

Mbona Mu7 Kagame hakuna Demokrasia yoyote kwenye yale Mataifa lkn Wapinzani wamekaa kimya🫎🫎

kwanini iwe Tanzania tu✍️
Wao wameua raia wao zaidi ya Elfu Kumi
..???
 
Samia kachafuka sana, hawezi kusafishika bila kwenda ICC The Hague kujitetea usafi wake

Umechafuka wewe kupitia uwelewa wako

RAIS DK SAMIA SULUHU HASSAN ni msafi km sufi nyeupe
Wanaochafuka wapo Lupango kuosha Machoo ya Vibaka✍️
 
I'm sorry for saying that light truth gentleman against that useless EFF camissa narratives towards our very able President Dr Samia Suluhu Hassan The President of Republic of Tanzania 🐒
 
Wao wameua raia wao zaidi ya Elfu Kumi
..???

Wameuwawa wavunja Sheria siku yoyote wakija Wakivunja Sheria watauwawa

Kipindi cha Benjamin William Mkapa pia waliuwawa wavunja Sheria wengi tu .👈

Na hatujawai kusikia Benjamin William Mkapa kachafuka kimataifa au kachafuka na Damu

So ni upuuzi tunaenda nao kama ulivyo utakwisha kwa kuchoka Wapumbavu wake wanaojipa tabu ya kuuweeneza✍️
 
Back
Top Bottom