Nilikuwa na imani sana na hii mahakama, ila kwa sasa naanza kupoteza matumaini kuwa huenda nayo inaingilliwa .
Tangu watuhumiwa wa mauji ya Oktoba 29 wafunguliwe kesi, inakuwaje mahakama hii iko...
Imeelezwa kuwa kushiriki katika uchaguzi ambao hauko huru na wa haki ni kukiuka misingi ya demokrasia na kuhalalisha dosari za mfumo wa uchaguzi.
Hayo yamesemwa na Wakili Msomi, Dickson Matata...
Serikali ya Zanzibar imepanga kuanza kunuuna mchanga kutoka Tanzania Bara kwajili ya miradi.
Kwa hio mapato haya yanarudi upya Zanzibar kujenga barabara, shule, hospitali, madaraja, n.k. kwajili...
Makonda ana uwezo kumsaidia mfungwa Yoyote akaachiwa huru.
Eti alipambania penzi la Majizo! Huku wasio na Konekseni wanasota jela.
Kauli ya ajabu sana na isiyofaa
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 16, 2026 akizungumza na wananchi wa Mpanda Mjini, Mkoani Katavi ametoa wito kwa halmashauri zote nchini kuhakikisha shule zote zinakuwa na madawati ya...
Nauliza wakuu
Ukiwa waziri wa habari ndio “deile” uwe unatoa matamko kwenye media?
Huku Malawi kunae bro etu deile yupo anarushwa kwenye media.
Wamalawi wananishangaza sana…
Kesho kila mtu atajifanya alikua rafiki wa JPM hata maadui zake kesho wanaenda kutumia karata ya uzalendo wa JPM na wao kujifanya wanasisitiza watanzania kua wazalendo wakati ni kinyume chake...
Hii ndio Taarifa mpya Ambayo inazunguka mitandaoni kwa sasa sambamba na kipigo cha Iran
Unaambiwa kutokana na mvuto huo Bajaji hizo ambazo ziko 4 zinafunga hesabu za Eicher za Mwenge- Mbagala...
Pamoja na makampuni yote ya magari mwendokasi eti wanapewa waarabu. Faida inaenda kwa mwekezaji nje wakati kampuni kibao za mabasi bongo🤦🏾♂️🤦🏾♂️. Mama tumekukosea nini? Unaua demokrasia, unateka...
Just now from Dodoma,
Spika wa Bunge, amelitangaza jimbo la Singida Mashariki la mbunge Tundu Lissu liko wazi na tayari ameisha mwandikia Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi, kumtaarifu kuhusu uamuzi...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dkt. Josephat Gwajima, amesema ataendelea kushiriki ibada kanisani hapo kila Jumapili bila woga wowote, akisisitiza kuwa hawezi kuepuka kusimama hadharani...
Wakuu naona mbio za kuutaka urais zinashika kasi... makada wa chama pendwa ambao pia ni viongozi maarufu serikalini wako kasi sana kuji-brand.
Binafsi ninaona siojambo baya ila mara nyingi watu...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema hayo leo Machi 16, 2026 wakati akiwatunuku zawadi Wakaguzi na Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza na Idara ya Uhamiaji waliofanya vizuri...
Hiki ni kipande cha Barabara inayotoka Ipole – Tabora kuelekea Mbeya, hali ni mbaya sana, wananchi tunateseka kwa kushindwa kupita kwa utulivu.
Kuna muda abiria tunalazimika kushuka ili gari...
Kuna mtu makini sina shaka nae anasema waliotaka kumtoa uhai Lissu ni wale team mtandao walitumia chance ya kutokuelewana kwa Magufuli na Lissu wakataka kumtoa uhai Lissu wapate nafasi ya...
Wakuu,
Akizungumza Machi 13 2026 na watendaji wa Serikali mkoani Arusha Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Toba Nguvila amepiga marufuku wenyeviti wa mitaa na wenyeviti wa vijiji kutomiliki mihuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.