Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali ya Zanzibar imetangaza mpango wa kuanza kununua mchanga kutoka Tanzania Bara kwa ajili ya kutumika katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo inayotekelezwa visiwani humo. Kauli...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Habari Tanzania !. Eti watanzania mnaonaje mtakapo fanya mabadiliko ya Katiba Mpya; Diwani awe na sifa ya kuteuliwa kuwa Waziri ili achangie maendeleo yetu kwenye Taifa. NB Mkumbuke katika Mfumo...
3 Reactions
24 Replies
347 Views
"Kwa uamuzi wenu siyo tu kwa kuniunga mkono, walioniunga mkono ni wengi, lakini kwa kitendo chenu cha kuniunga mkono waziwazi na hamkuficha. Mie ni mkristo na naungwa mkono na vongozi wangu wa...
0 Reactions
2 Replies
138 Views
Ameandika Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche: "Tangu Mwenyekiti wetu akamatwe mwezi wa nne, Leo ni miezi 11. Watanzania wanajua na Dunia inajua kwamba Lissu hajafanya kosa, kesi hii ni...
21 Reactions
75 Replies
1K Views
Hapa ni kijijini kwetu old Moshi Tela, Serikali tuzingatieni tupate lami jaman daah 🙌 tumezaliwa barabara ipo hivyo hivyo mpaka tunazeeka bado ipo hivyohivyo. Cheki apo mvua imenyesha kidogo...
1 Reactions
9 Replies
286 Views
DeletedMember281674
Nipo kwenye ziara ya Waziri wa AFYA - Mh. Mohammed Mchengerwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala muda huu saa 7 Mchana. Katika ziara hii, Katibu Mkuu - Wizara ya Afya kamkaribisha...
5 Reactions
11 Replies
498 Views
Nipende kumuomba CDF amshauri Rais asijenge Bandari ya Bagamoyo kwani kwa kufanya hivyo ni sawa na kuliua Taifa Kabisa. Nimemuomba CDF kwani yeye ndiye mkuu wa majeshi ya Ulinzi, na ulinzi ni...
24 Reactions
88 Replies
9K Views
Kwa kweli kwa wasiojua kuwa bandari bagamoyo ambayo itajengwa sambamba na eneo maalumu la kiuchumi la viwanda (economic zone). Mradi huu utakuwa na manufaa makubwa sana kwa wakazi wote wa ukanda...
2 Reactions
3 Replies
294 Views
  • Featured
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, Leo Machi 04, 2026 akizungumza na wafanyabiashara wa Soko la Machinga, Jijini Dodoma, ametoa maelekezo kwa mamlaka husika kumfukuza kazi muuguzi wa mkoani...
8 Reactions
44 Replies
3K Views
WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA BARABARA YA KAGWIRA – KAREMA WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa barabara ya Kagwira – Karema (kilometa 112)...
1 Reactions
2 Replies
209 Views
Hello Hayati Magufuli alijua kukonga nyoyo za watanzania na alikuwa mtanzania halisi. Angalia video hii ya MB 8 mpaka mwisho uone bi fatuma mohamedi mama ntilie alivyopigwa butwaa la furaha.
0 Reactions
1 Replies
107 Views
Kutoka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kesi mbili (2) tofauti zinazowakabili vijana watatu (3) wanaodaiwa kuvunja, wizi na kukutwa na mali zinazodhaniwa kuwa ni za wizi...
1 Reactions
1 Replies
291 Views
WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI WA MIJI 28 KATAVI WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Machi 13, 2026 ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Maji wa Miji 28 katika Kata ya Shanwe...
1 Reactions
2 Replies
179 Views
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba leo Machi 13, 2026 akizungumza na wananchi wa eneo la Majalila, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi kuhusu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya...
2 Reactions
1 Replies
164 Views
Wakuu nianze na kisa kifupi kidogo. Juzi nilikuwa katika mizunguuko kwenye miongini mwa masoko nikitafuta baadhi ya mahitaji. Ghafla niliona maafisa watatu wakiwa na silaka za moto. Nikamuuliza...
2 Reactions
9 Replies
234 Views
Jukwaa la Uzalendo na Mabadiliko limetoa barua ya wazi kwa Waziri wa Maendeleo ya Vijana, Joel Arthur Nanauka, likielezea wasiwasi mkubwa juu ya utekelezaji wa mpango wa Shilingi Bilioni 200...
1 Reactions
9 Replies
329 Views
Chama cha Denokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), António Guterres, kikieleza wasiwasi wake juu ya iwapo mwakilishi waliyekutana naye, Parfait...
12 Reactions
33 Replies
871 Views
Hivi siku hizi Tangu waingie madarakani kuna Uhuru kweli wa maoni? Maana ukiisema Serikali Mama Mkwe naye anakuja na vijembe, huku Mkwe nae anakuja na maelekezo usisahau kuna Swaiba wa Mama...
1 Reactions
7 Replies
202 Views
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba leo Machi 13, 2026 akizungumza na wananchi wa eneo la Majalila, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi ameagiza TAKUKURU kufanya uchunguzi kufuatia Serikali...
1 Reactions
2 Replies
192 Views
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, amesema hayo Machi 13, 2026 akiwa mkoani Katavi katika ziara ya kikazi, ambapo anatarajiwa kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na kuzungumza na wananchi.
2 Reactions
4 Replies
193 Views
Back
Top Bottom