Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wameunda tuma ili kujua walio na ushidi ni akina nani, muhusika wa mauwaji na ndie chanzo hawezi kuunda tume kwa lengo zuri.
0 Reactions
4 Replies
165 Views
Mtu amekemea utekaji na mauwaji alafu linatokea jitu heti limeenda kumsemea kwa papa alafu watekaji na wauwaji haliwasemi hivi zimo ? Haya mambo yanatia hasira sana wanafikiri sisi tunafanya...
2 Reactions
12 Replies
217 Views
Nimeipenda sana picha ya bondia Hassan Mwakinyo, ikimuonesha Simba wa vita vya haki nchini, Tundu Antiphas Lissu, na Simba mwingine wa vita vyake, Samia Suluhu Hassan. Kwa maono ya kinabii...
6 Reactions
16 Replies
453 Views
https://www.facebook.com/share/v/17qxXJt2YN/ kuna video nyingi sana, huo mfano mmoja. Msikilizeni huyu dada, anaelezea kwa kirefu kiasi gani maandamano yalivyoandaliwa na baadhi ya diaspora wa...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Kauli na vitendo vya Mh. Simbachawene vinanipa matumaini kuwa huenda tatizo la police kuwa kero kwa wananchi likawa limepata ufumbuzi. Katika kipindi...
1 Reactions
9 Replies
275 Views
Wametia aibu kwa kuhusika kusaport hila , kushiriki chaguzi fake sasa watageuka na kuwa NCCR Mageuzi wangeweza kabisa kuwa chama kizuri lakini waliweka njaa mbele
3 Reactions
6 Replies
161 Views
Askofu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali, amewataka Wakristo, hususan waumini wa Kanisa Katoliki, kutimiza wajibu wao wa kusimamia haki, amani na uadilifu, hasa katika masuala...
11 Reactions
27 Replies
580 Views
Wakuu, Jaji Chande na Tume yake wanapata wapi hii nguvu ya kuonya wakati polisi walituambia tufute video na picha zote tulizokuwanazo kwenye simu? Tulikuwa tunashushwa kwenye magari wanafanya...
12 Reactions
24 Replies
767 Views
Tume ya Uchunguzi imetoa wito kwa wananchi kupuuza ushawishi wowote unaolenga kuwazuia kushirikiana na tume hiyo na badala yake watoe maoni na ushauri kwa tume. Wito huo umetolewa Desemba 26...
1 Reactions
27 Replies
585 Views
Ni ukweli usiopingika Dunia sasa inamuangalia Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Samia Suluhu Hassan kama mwanamke hodari anayejiamini kiasi cha kuifananisha misimamo yake ya...
5 Reactions
62 Replies
864 Views
"Taifa letu limejeruhiwa na Taifa letu limepoteza heshima kutokana na yale yaliyojiri wiki ya uchaguzi mkuu.." amesema Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap. katika homilia aliyoitoa...
5 Reactions
7 Replies
434 Views
Kuna picha zinasambaa Polisi wako Fukweni wanafanya Doria, kile ni kidole Serikali imejitia. Tanzania ina akiba ya kigeni ya miezi 4-6 inayotumika kulipa madeni na kununua mahitaji ya muhimu na...
5 Reactions
31 Replies
708 Views
"Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais...
32 Reactions
272 Replies
18K Views
Wakuu, Askofu Bagonza Disemba 8 aliuliza, "Kuvaa kininja mahakamani na kuteka/kukamata bila sare; aseme IGP au Waziri? Askari wamfuate yupi? Nani awaamue?" Aliuliza swali hilo, kukiwa na...
3 Reactions
11 Replies
365 Views
Hii ni sahihi?. Kuwavisha wanaCCM mavazi haya ili kupumbaza wananchi?
1 Reactions
24 Replies
906 Views
Wanabodi Hii ni makala yangu ya Salaam zangu za Krismasi kwenye gazeti la Mwananchi. Leo ni Sikukuu ya Krisimasi, Watanzania tunajiunga na watu wengine duniani, kuadhimisha sikukuu hii ya...
5 Reactions
22 Replies
464 Views
Wanaukumbi, Kuanzia leo Jumatano, 28 Septemba Mwananchi limeanza "series" zangu na za waandishi wengine kuhusu Miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika. Tusomeni kwa furaha. Mohamed Said...
26 Reactions
2K Replies
175K Views
Rais aliyeapishwa na jeshi lililomsaidia kuiba kura, ndiye aliyetoa amri kutangazwa kwa hali ya hatari iliyopelekea mauaji ya raia zaidi ya 10,000. Ameunda tume anayoìtuma kuchunguza mauaji hayo...
2 Reactions
15 Replies
308 Views
Tangu tupate uhuru, Tanzania imeongozwa na viongozi sita toka dini kuu mbili za kikoloni yaani Ukristo na Uislam. Watatu walikuwa Wakristo yaani JK Nyerere, Ben Mkapa na JP Magufuli ilhali...
4 Reactions
24 Replies
426 Views
Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania , TEC, Askofu Wolfgang Pisa Muhtasari wa habari Kibwagizo cha ujumbe wa Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) katika Sala na Mafungo ya kuombea haki na...
42 Reactions
214 Replies
12K Views
Back
Top Bottom