Katambi: Machafuko na uhalifu unaoendelea leo duniani unatokana na mmomonyoko wa maadili

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,909
Reaction score
16,468
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema hayo leo Machi 16, 2026 wakati akiwatunuku zawadi Wakaguzi na Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza na Idara ya Uhamiaji waliofanya vizuri zaidi katika utendaji kazi.

Deny deny defl

Deny deny deflect, yaani mchango wa viongoz wabovu kwenye hayo machafuko hautajwi, lawama wanabebeshea wengine?
 
Samaki huoza kuanzia kichwani, Kwa hiyo juu ya Hilo unataka kutuambia nini ,
 
We kwani mzima ndugu? CCM yako wazima?
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema hayo leo Machi 16, 2026 wakati akiwatunuku zawadi Wakaguzi na Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza na Idara ya Uhamiaji waliofanya vizuri zaidi katika utendaji kazi.

Siyo kweli hata kidogo, machafuko yanaletwa na uonevu, ukandamizaji na unyimaji wa haki. Kama Wayahudi wasingewakandamiza Wapalestina leo hii hakungekuwa na Hamas. Hata Serikali hii ya CCM inavyotumia mabavu ya vyombo vya dola kukandamiza, kuteka, kupoteza na kuua wapinzani na wakosoaji huko tuendako machafuko hayaepukiki.
 
Hivi vijamaa vinajionaga vina akili dunia nzima.Tunajua kila kinachoendelea hamna cha kutufundisha mapimbi nyie.Maadili maadili ujinga ujinga mtupu.
 
Back
Top Bottom