Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ikiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha...
14 Reactions
187 Replies
6K Views
Tunaendelea na nyuzi zetu za mwezi wa 3, ambao ni mwezi wa Mungu. Ni wazi kila mwananchi anafahamu kuhusu kampeni za wazi kabisa za kutaka Rais wa awamu ya 5 Dkt John Magufuli aongezewe muda wa...
17 Reactions
104 Replies
4K Views
Tunaendelea na mada zetu za mwezi huu ambao ni mwezi wa Mungu . Kwenye uongozi wa awamu ya 5, haki za kikatiba, ikiwemo haki ya faragha ilipuuzwa , viongozi wote wa sasa na wastaafu , wakiwemo...
8 Reactions
91 Replies
4K Views
Utawala wa awamu ile uliamini kwenye Umasikini, Shida na Mateso . Kwamba umasikini ni baraka . Akizungumza mara baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Tanzania 2015 , alikuwa akihutubia kwao Chato na...
6 Reactions
52 Replies
3K Views
Anaandika Joseph Mbiliyi (Sugu) Aliyemuweka huyu jamaa karibu yangu ajue Mungu anamuona NB: Ni kama alikuwa ananilengesha nitekwe, MATAKO YAKE.
6 Reactions
9 Replies
508 Views
Nikiwa kama 'political strategist' nimetafakari na kuchambua hali ya siasa za upinzani hususani CHADEMA kuelekea uchaguzi Mkuu na nimeona yafuatayo: Kwanza ,nimeona kuwa upinzani wote watashiriki...
11 Reactions
85 Replies
5K Views
Kamati Tendaji ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Serengeti imelitaka Jeshi la Polisi kutoa maelezo ya wazi na ya kina kwa umma kufuatia uamuzi wake wa kutumia mabomu ya...
2 Reactions
2 Replies
154 Views
Leo, Machi 17, 2025, imetimia miaka 5 tangu kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Vipi Mdau, unamkumbuka Hayati Magufuli kwa lipi? Maneno mazito ya Hayati Magufuli...
7 Reactions
10 Replies
429 Views
  • Redirect
Kwa mujibu wa Malisa Godlisten ndugu yetu kabisa Deo Kisandu ameshinda Rufaa ya kesi yake ya mchongo, tunamkaribisha uraiani na JF kwa ujumla. Legends wa JF wanakumbuka vituko vyake...
3 Reactions
– Replies
– Views
Shambulio la risasi 40 dhidi ya Tundu Lissu lilipangwa (Hata Lissu mwenyewe alisema), na kwamba aliyetumwa kusimamia Shambulio hilo anaitwa Paulo Makonda (Hajawahi kukanusha) Wapanga njama hiyo...
56 Reactions
166 Replies
9K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mwamba Paul Makonda Ataendelea kung'aa Kiuongozi ,kushika nafasi nyeti ,kupaa kiuongozi Kutokana na uchapakazi wake uliotukuka na wa kuleta matokeo chanya na ya haraka...
0 Reactions
6 Replies
391 Views
Naanza kuona ujinga mkubwa sana kupigania maiti ambayo haijitambui Mh Lissu, wewe ni shujaa sana tena sana na mpaka sasa hakuna binadamu yeyote Tanzania tangu nchi yetu kujipatia uhuru wake...
5 Reactions
7 Replies
285 Views
Hamjambo wote! 1. Mapema wiki hizi kumekuwa na ongezeko la mabasi ya Mwendokasi Ruti ya Kimara Mbezi. 2. Mabasi ni mapya na mazuri. 3. Kiyoyozi na WiFi kama zote. Password utajua pakuipata. 4...
3 Reactions
15 Replies
396 Views
Hilo liko wazi,ila nani wa kumuambia?Kila mtu kajikunyata na kusubiri kila linalofanywa ashangilie tu! Kinachotafutwa kwa yanayoendelea nchini,huenda kitapatikana!Tusije mtafuta mchawi nani! Jamii...
0 Reactions
1 Replies
828 Views
Kuanzia Wakurugenzi, Mameneja, Bodi hadi mafundi wote mjitafakari. Mnazingua.
3 Reactions
13 Replies
264 Views
Kuna minog'ono inatolewa na WanaCCM wanaoionea wizvu CHADEMA ya Lissu na Heche kuwa inakwenda kufa kisa tu wana misimamo thabiti. Kwa sababu hawataki kuwa kama Mbowe na kuwa wananunulika na CCM...
9 Reactions
48 Replies
719 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hiyo ni Kauli Ambayo aliitamka Mwamba Mwenyewe Wa Kaskazini na Ukanda wa Ziwa Mheshimiwa Sana Paul Makonda Mbele ya Mkandarasi. Ambapo Mwamba alifikia hatua hiyo baada...
2 Reactions
16 Replies
766 Views
Akiongoza ibada maalumu ya kumbukizi ya miaka mitano ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Tanzania, hayati John Magufuli inayoendelea katika viwanja vya nyumbani kwa magufuli, Askofu wa...
1 Reactions
0 Replies
155 Views
Kuna jambo inabidi tulifatilie. Samia anafuatilia mienendo ya Jeshi au Ni suala la kukaa mguu sawa? Wafanyakazi wa ofisi ya Rais wanaimarisha ulinzi wa Mkunda?
9 Reactions
90 Replies
3K Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM Kenani Kihongosi , amesema Taifa linahitaji upinzani uliokomaa na wenye kuzingatia maadili ya kisiasa, badala ya siasa za...
2 Reactions
14 Replies
628 Views
Back
Top Bottom