Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tutaongea yote ila mara ya mwisho Tanzania kuwa na uchaguzi mkuu au serikali za mitaa ni mwaka 2015. Kumuhusudu na kumkubali aliyesababisha hali hii yote ya sasa huku unamlaani na kumkosoa mrithi...
5 Reactions
11 Replies
232 Views
Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini, Balozi Ombeni Sefue ametoa pendekezo hilo la tume hiyo leo Tarehe 18 Machi, 2026 Ikulu Dar es Salaam wakati wa kukabidhi...
0 Reactions
3 Replies
153 Views
Wakuu, Nimeona battle inayoendelea kati ya Rais wa Kenya na aliyekuwa Naibu Rais wake Rigathi Gachagua ambapo kwa Tanzania nafasi yake ni sawa na Makamu wa Rais. Gachagua alichagulia kuwa Naibu...
0 Reactions
3 Replies
361 Views
Waziri Mkuu Mstaafu, Kassim Majaliwa, amesema Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli, alikuwa kiongozi mzalendo aliyejengwa katika misingi ya...
3 Reactions
12 Replies
577 Views
Matatizo yote makubwa ya kisiasa tuliyonayo leo yalianzia hapa. Bunge la machawa tulilonalo leo lilianzia hapa. Bunge kukosa upinzani ilianzia hapa. Utekaji na uuaji wa wapinzani ulianzia hapa...
5 Reactions
11 Replies
362 Views
Mwisho wa siku Serikali inafanya maamuzi kwa niaba ya wananchi, wananchi wakipiga kelele wanapaswa kusikilizwa, kwenye kuwasikiliza inasaidia kule ndani mnapokuwa mnachakata kusikiliza hivi...
1 Reactions
7 Replies
186 Views
Naomba niweke wazi Simpendi Samia kama ambavyo sikumpenda Magufuli ila nschukizwa ns unafiki wa watu wanaomchukia Samia huku wakimlilia Magufuli. Kiongozi yoyote alie tayari kutesa watu, kuziba...
6 Reactions
10 Replies
293 Views
George Bizos alikuwa wakili muhimu wa Nelson Mandela na wenzie waliokuwa wanashtakiwa pamoja naye wakati wa Kesi ya Rivonia 1963-74. Anakumbukwa kwa kumshauri Mandela kuongeza neno "ikiwa ni...
4 Reactions
105 Replies
3K Views
  • Featured
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kilifungua kesi mahakamani kupinga amri ya Mkuu wa Polisi (IGP) ya kuzuia watu kutoka nje (curfew) wakati wa vurugu za uchaguzi wa Oktoba 2025. Lakini...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Katika miaka ya hivi karibuni kumeibuka skendo za kina Epstein na Diddy. Watu hawa wamehusishwa na skendo za kuwaunganisha wanasiasa na matajiri na shughuli za anasa, bata na mazaga mengine ya...
0 Reactions
6 Replies
274 Views
Wanabodi, Angalizo. Neno dikiteta sio neno baya kama lengo la matumizi yake ni lengo jema. Tukisema Rais Magufuli ni dikiteta, hatumaanishi ni dikiteta katili kama Hitler, Musolini, au Iddi...
27 Reactions
281 Replies
43K Views
Bila aibu anasimama kiongozi mnafiki ambae anajua fika misingi na falsafa aliyoisimamia hayati Magufuli shujaa wa Afrika haifuatwi. Eti Magufuli bado yupo mioyoni mwa Watanzania? How ? Kwa...
1 Reactions
1 Replies
236 Views
Wanabodi, Tanzania ni nchi inayofuata Katiba na kuendeshwa kwa utawala wa sheria, hivyo itaongozwa kwa mujibu wa Katiba, sheria taratibu na kanuni!, no one is above the law!. Katika kufuata...
6 Reactions
289 Replies
38K Views
Wanabodi, Hii ni barua wito kwa Baba Jesca, ili awatendee haki kina Jesca wengine wote wenye matokeo kama ya Jesca ili nao wapate bahati kama ya Jesca!. Mpendwa Baba Jesca, Salaam hapo ulipo...
67 Reactions
385 Replies
52K Views
Sidhani kama wengi demokrasia na mambo ya haki ni kipaumbele kwao. Inaonekana wengi wanachotaka ni maendeleo tu bila kujali yamepatikanaje au gharama yake. Lakini pia raia wengi wanapenda viongozi...
1 Reactions
2 Replies
177 Views
Wanabodi, Huu ni wito tuu kwa wana jf kuhusu ukosoaji wa Rais wa nchi, Mhe. Dr. John Pombe Joseph Magufuli, ufanyike kwa staha kwa kutanguliza mbele uzalendo, na maslahi ya taifa mbele, ukiwemo...
48 Reactions
264 Replies
47K Views
Tumekuona baada ya miaka 5, tumekusikia nadhani UNADHANIA aliyekuhoji no dampa, Tafakari chukua hatua NAKUHAKIKISHIA Iko siku utajibu ilo kwa kiufasaha
2 Reactions
0 Replies
241 Views
Hamjambo! 1. JPM binafsi nilipishana naye eneo moja tuu ambalo ni kuu. Lakini mambo mengine mengi hasa ya utekelezaji na usimamizi wa resources alikuwa sahihi. 2. Leo Siku ya kumbukizi ya kifo...
10 Reactions
49 Replies
703 Views
Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Elsie Kanza, ametajwa miongoni mwa viongozi 100 wenye ushawishi barani Afrika, akiungana na majina makubwa kutoka kwenye siasa, biashara, michezo na...
2 Reactions
13 Replies
260 Views
Tunahitimisha zile nyuzi zetu za mwezi wa Mungu , Kwenye utawala wa awamu ya 5 , Bwana Paulo Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , alijipa cheo cha Kitengo cha kudhibiti Madawa ya...
12 Reactions
52 Replies
3K Views
Back
Top Bottom