Kuna watu wakitolewa tu madaraka ya ubabaifu wao moja kwa moja ni jela na minyororo mda utaongea hakuna mtu ambaye hata wajibishwa.
Hii inaenda kuandika historia tofauti Tanzania kuna watu...
Hizo ni tuzo ngumu ambazo ulaya wanajaribu kuzipa jina baya kiuhalisia hao Marais ni wazalendo kwa MATAIFA Yao wamekunywa maji ya bendera zao, ni wakomavu kwelikweli.
Huwezi ukagusa maslahi ya...
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umekosoa tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kuwazuia waumini wao kushiriki kwenye shughuli za kisiasa.
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa UVCCM...
Kuna dhana inaenezwa na wazalendo uchwara kwamba kuandamana kwenda Ikulu ni kutaka kufanya mapinduzi, au uhaini.
Wazalendo uchwara wanakwenda mbali na kudai kwamba yeyote anayepanga maandamano...
Mchambuzi wa masuala ya siasa na mwanasiasa mkongwe, Said Miraj, amesema serikali ina jukumu lisilopaswa kupuuzwa katika kulinda maisha ya wananchi, akisisitiza kuwa uhai wa mtu ni thamani kubwa...
Mara kadhaa nimekuwa nikikutana na watu na wengine kuwasikia wakijitambulisha kwa vyeo fulan lakini nashindwa kuelewa kuwa hivi vyeo wanavipata wapi?
Kuna vyeo vinatumika zaidi mfano
CDE
COMRADE...
Ndugu zangu Habari !!
Bado tunaendelea na Mapambano ya kuhakikisha Hawa Wauaji walotuua hawatutawali.
Hatupo kimya, Ni Mbinu tu tumebadilisha
Je Mnajua kwann Chawa wa CCM wanajifanya suala...
Kanisa katoliki limepoteza uelekeo kabisa haijulikani nani ni nani. Kila askofu ni mkurupukaji tu na hajui nini cha kusema.
Mbina pengo aliheshimika sana ikafika hatua akisema kitu serikali...
Yaani NYAMPALA WA GEREZA alilokuwa amewekwa Chacha dereva aliyevunjwa miguu ni MTUHUMIWA anazaidi ya miaka minane yupo Gerezani, hivi Dr Samia Ili taifa linaenda wapi?
NARUDIA Tanzania haki zipo...
Bondia Hassan Mwakinyo ameibuka na ushindi dhidi ya Stanley Eribo kutoka Nigeria kwa knock out (KO) katika raundi ya pili tu.
Wakati akitangazwa mshindi wa pambano hilo Hassan Mwakinyo...
Salaam, Shalom!!
To start with, Kila kiongozi na Kila mwanasiasa na ajue ya kuwa uchaguzi ni vita, na kiongozi yeyote ashindaye, anabeba sura ya Mungu au miungu iliyompa uwezo kukaa katika KITI...
Wakuu kama alichosema Lema ni kweli basi huyu Georgina Matage ni mwanamke katili kwelikweli. Simjui Georgina Matage ila nashindwa kuelewa ujasiri alionao kuweza kumvua nguo mtu mzima kama Lema...
Disemba 10, 2025
Kanada inapitia upya msaada wake wa muda mrefu kwa Tanzania baada ya ukandamizaji wa kikatili uliofanywa na Polisi na Wanajeshi, ambao unaripotiwa kuua mamia ya raia waliokuwa...
Hizo tuzo za kidunia hizi Tunazozijua zinataratibu zake za jinzi ya kupiga kura, na watu wenye sifa za kupiga kura huwa wanaainishwa kwenye website ya tuzo husika, na ili kupiga kura lazima uwe...
Mea Culpa
Mea culpa” originates from a prayer of confession in the Catholic Church, but it's now used in a more general sense to admit that something was your fault or to refer to a formal...
Badala ya Tume kujenga ukaribu na wananchi ili wapate wanachokitaka wamejipa mamlaka ya upolisi na kuanza kuwafokea.
Namshauri huyu Mkiti wa Tume, kuliko kuanza kujibizana na vijana wadogo bora...
List ni ndefu na vichwa ni vingi.. Nina heshima kwa wengine pia nimeona juhudi zao, uwezo wao, maono yao na michango yao.. Kwa hakika ya moyo nimewapa salute yangu kubwa
LAKINI naomba niwatambue...
Baraza la Wasafirishaji Tanzania (Tanzania Shippers Council – TSC) limewaalika wadau wa sekta ya umma na binafsi kushiriki katika mdahalo maalum unaolenga kujadili njia bora za kuendesha bandari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.