Leo raisi wetu mpendwa JP Magufuli alizindua mfumo wa kukusanya kodi ambao umetengenezwa na watanzania wenzetu mwanzo mwisho, pia raisi alipata wasaa wa kutoa hotuba fupi yenye maneno mazito kama...
Katika majadiliano ya jana kati ya Balozi Amina Salum Ali na mwandishi wa Nipashe unaweza kuuona muhma alionao baada ya kuhusika moja kwa moja katika uchafuzi wa suluhu iliowekwa na waliomtangulia...
Uzalendo unaharibiwa kwa Uhamasishaji wa kiitikadi , kejeli , mipasho, matusi, uonevu , kutoyatenda yaliyo ya haki kwa tabaka la chini, kuwagawa, wananchi kwa misingi ya ukabila, ukanda , udini na...
“Kwa masikitiko nimepokea taarifa za kifo cha Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Moshi Mjini, Mzee wangu Philemon Ndesamburo kilichotokea leo tarehe 31 Mei, 2017 katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC iliyopo...
Kuwa na nia njema ni jambo moja ila njia ya kufikia malengo ya nia njema ni muhimu sana.
Hakuna uwezekano katika maisha kutumia mbinu mbaya kufanikisha jambo jema. Hivi mtu akivunja benki na...
(ShareCast News) - Tanzania has launched a new investigation after Acacia Mining was accused by a government committee of under-reporting gold exports, with analysts in disagreement over how much...
Miaka Hamsini na ushee ya Uhuru , bado taifa halijui ni kwa namna Gani nembo ya taifa ilipatikana, wala hawajui ni nani aliyebuni. Ivi kweli tunajua hata zile alama kwnye nembo zinazungumza nini ...
Zanzibar Daima
Akina Lukuvi musiojua Zanzibar. Ukristo uliingia hapa kabla hata mababu zenu hawajabatizwa. Musitufitini.
Anuani ya mjadala huu inalazimika kuwa refu kutokana na haja iliyopo ya...
Kuna habari iko mitandaoni ikimnukuu kiongozi mkubwa kabisa wa ccm,akidai kwamba kuna watu wa migodi waliandaa bilioni 300 kwa ajili ya kuhonga
Sijasikia kauli ya PCCB kuhusu hili kama walimuhoji...
TANZANIA ANTI-MINERALS SMUGGLING FAILURE
The anti-minerals smuggling campaign has hoted up in Tanzania, but there is a huge cover-up. 270 Kgs of gold worth some Tsh 12bn/- and 2 tons of uranium...
Wanaoitetea Acacia Wako Kwenye Stage ya Ujinga Wanaelekea Upumbavu...!!!!
Akiongea kwenye kipindi cha jambo leo tbc1 leo kwenye mahojiano maalum yaliyo kuwa yakiendeshwa na mtangazaji Shaban...
Huu mfuko ya faa uchunguzwe kwa makini, Unaibia watu kwa kushirikiana na waajiri.
Utakuta Mtu analipwa 500,000 lakini utakuta kaandikiwa 150,000 ili kumlinda Mwajiri asitoe hela nyingi, yeye...
Hong Kong's South China Morning Post has this story here http://v2catholic.com/background/Drugs/Tanzania/2014/2014-09-28SCMP-A7.jpg In the 8 months after the inmates' campaign began in August...
Nashauri wana CCM tuachane ni hii mbinu ya Hamorapa,
Kiki zimestukiwa, mwanzoni tulipata sifa sana kufukuza fukuza, kufoka foka jukwaani, teua tengua
Kubwa kuliko yote tukamtimua mwenzetu...
Kuna utaratibu mpya umeandaliwa ndani ya ccm wa kuteua wagombea ubunge. Utaratibu huu utaanza kutumika ktk uchaguzi mkuu ujao 2020. Lengo ovu la utaratibu huu ni kuwabana wale wote wasioafiki...
Moja ya stumbling block ya kiuchumi tuliyonayo katika nchi yetu ni makazi holela.
Wataalamu wanasema hatua ya kwanza ya maendeleo katika mji ni kupanga mji. Maana yake ni kuwa ukipanga mji...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli leo wakati akizindua Mfumo wa serikali wa ukusanyaji kodi kwa njia ya Kieletroniki amewachana baadhi ya watumishi wake akisema wamekuwa...
Wakati uchunguzi wa kifo cha Hayati Philemon Ndesamburo ukiendelea,taarifa za awali zinadokeza kuwa moyo wake ulikuwa na matatizo makubwa.
Kiongozi wa wachunguzi wa kitabibu,Prof. Elisante...
Heshima kwenu Wanabodi,
Mpaka sasa ni takriban miezi 19 toka Mh. Rais aanze kusimamisha na kufukuza viongozi waandamizi wa serikali na wanasiasa. Makada wa CCM wamekuwa wakidai kuwa Mh. Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.