iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,924
Kuna habari iko mitandaoni ikimnukuu kiongozi mkubwa kabisa wa ccm,akidai kwamba kuna watu wa migodi waliandaa bilioni 300 kwa ajili ya kuhonga
Sijasikia kauli ya PCCB kuhusu hili kama walimuhoji au hata kuchukua hatua na kuwapa wananchi mrejesho
Nawasihi PCCB wafanye kazi,wana chanzo cha taarifa tayari