https://youtu.be/4ZAYXzEBXt8?si=izBx2goyWhBTHUYH RV
Mahuburi ya Askofu Josephat Gwajima Jana katika mkesha wa mwaka mpya kanisa GCTC - UFUFUO NA UZIMA yalikuwa too philosophical, indirectly...
Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu nchini Tanzania (BAHAKITA) Sheikh Said Mwaipopo amesema sababu ya Chuki na ukosoaji unaofanywa na Waziri Mkuu mstaafu Mzee Joseph Sinde Warioba ni kutokana...
Nafanya mengi lakini ile siku ya oktoba 29, 2025 imegoma kutoka kichwani,
sitasahau kabisa, nimekata tamaa kabisa ya maisha haya chini ya jua
uzalendo wangu wa nchi hii uliishia pale! sina imani...
Nimesikiliza kwa makini sana interview Yako na Jambo Digital Tv Online, mwishoni Mwandishi akakuuliza yake yaliyotokea Tarehe 29 Oktoba 2025 ukamjibu iundwe Tume ya Mahakama ya Truth and...
Hamjambo!
1. Kama mnakumbuka vizuri. Baada ya MO29 moja ya mbinu nilizoandika zitakazoshusha hasira za watu ni pamoja na Samia Suluhu kutozungumza zungumza mara kwa mara kwenye luninga.
2...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amesema Kanisa halitayumbishwa wala kujadiliana katika masuala yanayohusu imani yake, akisisitiza kuwa yuko tayari kuisimamia imani hiyo...
Napenda kueleza hisia zangu kuhusu haya yanayoendelea nchini Tanzania, kiasi cha kuundwa rasmi team mbili kuu.
Yalianza rasmi enzi za Magufuli, kutekwa risasi, kufungwa kufilisiwa nk.
Huenda ni...
Sina mengi ya kueleza kila mtu aliona, what he did that strong and patriotic man.
Kwa mtizamo wangu ,the man anastahili kupewa Tunzo ya kupigania Taifa na rasimali zetu, akiwa the best soldier...
Siku tume huru ya uchaguzi ikipatikana ccm hawana chao tena nchi hii.
Chadema ilikuwa inapendwa hata kabla ya haya mauaji ya halaiki ya watanganyika. Baada ya haya mauaji ya kikatiri nadhani ccm...
Na watanzania tulivyo wa ajabu, na licha ya kuwa tulitukanwa kuwa hatufanyi kazi bado tumejazana kwenye kuview nyimbo zao.
Inashangaza sana kuona wasanii tena wakubwa waitanzania ambao wanahamasa...
Makamu mwenyekiti CHADEMA bara John Heche anandika kupitia ukurasa wake wa Instagram kuhusu TRC Kusimamisha safari za SGR kutoka Morogoro -Dodoma kutokana na athari za mvua.
"Mradi wa reli ya...
Huwezi kuua watu, miili ya watu umetupa porini, mingine umefukia makaburi ya halaiki, unaendelea kuteka na kuwabambikia watu kesi, halafu ukasema unataka maridhiano!! Ni upuuzi wa hali ya juu...
Maelfu ya waganda wanaomuunga mkono mgombea wa chama Uganda National Uñity platform (NUP) Robert Kyagulanyi Ssentamu almaarufu kama Bobi Wine, wameanza kuhamasishana kugomea Uchaguzi wa nchi hiyo...
Hakuna mmbunge mwenye maslahi kuzidi hawa ma DG wa taasisi za Umma.
Massanja aliamua ku risk UDG wake over ubunge, hii ni kwa sababu Massanja anajua alichokifanya pale TRC na ufisadi mkubwa...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, ameonekana akiwa katika hali ya furaha kubwa kanisani kwake, akicheza na kuimba pamoja na waumini, ikiwa ni mara ya kwanza kuonekana...
Anaandika Baba Askofu Dk Bagonza kutokea Dayosisi ya KKKT Karagwe Kagera.
Dr. BASHIRU NA MATUMIZI YA DOLA.
Duh!! Najua hili limegusa sana. Kila gazeti litaandika na sisi "mashabiki waandamizi"...
Kuna live ya tiktok inaendeshwa watu wote mule anaeongea kazi kulaumu wenzie kisa hawajaikanzisha huku yeye mda huo hajafanya kitu kakaa ndani sijui anasubiri nani akinukishe wazee Kwa staili hiyo...
KUIFUTA CCM SIO KUONDOA MATATIZO YA TAIFA HILI. HIYO NI PROPAGANDA YENYE UONGO MKUBWA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kuna watu wanadanganya Watanzania matatizo ya Nchi hii ni uwepo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.