Tesha apewe Tunzo ya mwanajeshi bora na mzalendo 2025

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
2,151
Reaction score
3,116
Sina mengi ya kueleza kila mtu aliona, what he did that strong and patriotic man.
Kwa mtizamo wangu ,the man anastahili kupewa Tunzo ya kupigania Taifa na rasimali zetu, akiwa the best soldier since independence in 1961.

KWA vyombo vya ulinzi na usalama sijawai sikia na kuona Tanzania mjeda mzalendo kama yeye, alijitoa, alijilipua, alikuwa yupo tayari kufa kwa ajili ya Taifa lake. Na hiyo ndo wajibu wa soldier halisi na sio kuwa chawa wa ccm , unasema ww ni mwajeshi, au ww ni TISS.
Huyu mwamba historia itampa maisha marefu kizazi mpaka kizazi kwa kujitoa kwake.

Kama mm ndo ningekuwa rais baada ya kutoa wote wahuni HAWA , Tesha ningemteua kuwa mkuu wa JWTZ.
Chadema kama kuna siku mtakuja kuongoza nchi msije kumsahau Tesha,
Mungu ibariki Tanzania mpyaaaa "ukipanda wema utavuna wema ,ukipanda ubaya utavuna ubaya" mwaka 2025 kama kuna mtu nilimkwaza kutokana na kumenti, au nyuzi zangu mnisamehe.
nawatakia heri ya mwaka mpya wana jamii forum wote by mwinjilist wenu Gabeji.
 
Tesha ni Mmoja tu TZ nzima ,Capiteeen.
 
Back
Top Bottom