Hii tekateka inaweza kuwa kikundi cha kigaidi kinajiseti Tanzania

Hii tekateka inaweza kuwa kikundi cha kigaidi kinajiseti Tanzania

Ni kweli hata ugaidi Nigeria ulianza kwa kuteka watu kabla ya kuanza kushambulia na kuua

na waliomobilize icho kikundi Cha kigaidi Nigeria ni wanasiasa na wafanyabiashara wakubwa
 
Tusipokuwa makini, hiki kijundi cha tekateka kitaishia kuwa kikundi cha kigaidi kitakachosumbua sana Taifa.
Screenshot_20251230-125142~2.png
 
Mkuu kwa kukukumbusha tu ni kwamba Interahamwe (Rwanda), Mungiki ((Kenya) na Mbonerakule (Burundi) ni vikundi vilivyoanzishwa na watawala wa nchi hizo ili kushughulikia wakosoaji na wapinzani. Vikundi vikakomaa na kushindikana kudhibitiwa na waliovianzisha.

Hivi tunavyoongea kundi la Mbonerakule limekuwa sehemu ya serikali ili kutuliza hali ya mambo. Chama cha CNDD-FDD kiliunganisha nguvu na Mbonerakule hivyo kuunda kitu kinaitwa CNDD-FDD-MBONERAKULE.

Hawa watekaji ni muendelezo wa WASIOJULIKANA, hivi sasa Abdul kaamua kuwaletea mpk silaha za. . Muda utafika watakuwa watawala wa nchi hii.
 
Cha huku tz kinaitwaje?
 
Tusipokuwa makini, hiki kijundi cha tekateka kitaishia kuwa kikundi cha kigaidi kitakachosumbua sana Taifa.
Pata hii picha...
Mtu anatekwa kisha kimyaaa, baada ya kelele na facts za kutekwa kwake kuwekwa hadharani, polisi wanatoka na kudai wanaye. Wengi wameitwa polisi na kutowekea huko....

Kikundi cha ugaidi ni polisi yetu hii hii
 
Tusipokuwa makini, hiki kijundi cha tekateka kitaishia kuwa kikundi cha kigaidi kitakachosumbua sana Taifa.
Nilishasema siku nyingi kuwa CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala kidhalimu. Watekaji ni kikosi kazi ambacho kimaundwa na polisi na TISS na kwa sasa kiongozi wao ni Faustine Mafwele afisa mwandamizi wa jeshi la Polisi na paymaster wao ni Abdu mtoto wa Samuya.
 
Na kiongozi wa kundi hilo la kigaidi linaloteka na kuua wakosoaji au watu wote wenye mawazo huru, anafahamika. Anaweka rekodi nyingine katika Dunia.
 
Kitu kikishaanza kuwa tabia iliyozoeleka huo ndio mwanzo wa tatizo. Na genge la watekaji washaanza kuona huo ndio utaratibu.

Leo washaanza kuteka mpaka senior civil servants rejea Mwambe na kidhuru viongozi wa dini. Hata mmbuyu ulianza kama mchicha.

Hiko siku hili jini serikali litashindwa kulizuia. Kwa sasa hawa watu hawajali amri za raisi, waziri mkuu wala waziri wa mambo ya ndani. Hata sasa hujui huo utekaji wanafanya kwa faida ya nani, zaidi ya ku-justify kupokea hela tu kwa anaewalipa.
 
Back
Top Bottom