Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesimulia kisa cha mkazi wa Arusha ambaye amelizwa kiasi cha takriban Sh600 milioni na kijana aliyemuamini akamchukulie mkopo. Kutokana na kisa hicho, Dkt. Mwigulu...
8 Reactions
63 Replies
3K Views
🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️Nchi haijawahi kumchoka mtu hivi
4 Reactions
6 Replies
206 Views
Believe me kete ya Maridhiano itafanikiwa endapo Lissu na Chadema watakubali kuyashiriki. Samia na CCM wanaomba sana Lissu akubali kushiriki Maridhiano, hebu fikilia Samia afanye handshake na...
9 Reactions
22 Replies
521 Views
Mie hapa New York pana kaubaridi (nyuzi joto kama 6 hivi si haba) na nimekula pilau ya Xmas ambayo kapika shemeji /wifi yenu alifundishwa na mama mkwe wake kupika pilau ya maana. Wakati huohuo...
6 Reactions
12 Replies
468 Views
Kwa kweli ukiachana sijui TEC kule Mashekhe huku wasiojulikana yaani msababishi wa yote ni Samia,hakuna kuzungukana zitaundwa tume mpaka za maraika hakuna kitakachoturiza nyoyo za watanzania...
1 Reactions
0 Replies
114 Views
My people, Amani ya nchi ni kama hewa tulivu inayowezesha maisha kusonga mbele bila msukosuko. Bila amani, maendeleo husimama, hofu hutanda, na ndoto za wananchi hukauka kabla ya kuchanua. Ndiyo...
3 Reactions
6 Replies
202 Views
Aliyewahi kuwa kada wa CHADEMA na mtu wa karibu wa siku nyingi na Waziri Mkuu mpya (Mwigulu Nchemba) ndugu Ludovick Rwezaura ameibuka leo na kulishambulia vikali Kanisa Katoliki kwa kuikosoa...
8 Reactions
87 Replies
3K Views
Wakuu kama imeendelea kuwa ada hii imekaaje. Tutaishije TutAjilindaje Tushauriane kuepuka kutekwa
2 Reactions
10 Replies
184 Views
Ni saa 3 asubuhi kwenye mpaka wa Tunduma, Mkoa wa Songwe. Wakati malori yakiwa yameshikana bila kusonga, biashara nyingine inakua kwa kasi kubwa – soko haramu la kubadilisha fedha za kigeni. Eneo...
1 Reactions
1 Replies
216 Views
Kwakifupi jana Gwajima ndiyo amehutubia taifa ndiyomaana hata kwenye online platforms hotuba yake imeangaliwa na watu wengi zaidi kuliko ile ya mwenyekiti wa CCM. NB: Ni mwaka 2026 sasa, tunaanza...
3 Reactions
8 Replies
326 Views
Kuna MTU mmoja alisema historia huwa inajirudia . History tends to repeat itself MTU MMOJA AKASEMA VIJANA TOKENI JESHI LIPO NA NYIE LITAWALINDA yaani huyu aliamua kufanya Manipulation kubwa...
5 Reactions
119 Replies
2K Views
Wote tunakubaliana MaCCM yote ni majizi. Lakini mijizi ifuatayo Nape Nnauye, Dotto Bitiko, Innocent Bashungwa, Selemani Jaffo, Hussein Bashe, January Makamba na Ummy Mwalimu. Sidhani kati yetu...
2 Reactions
1 Replies
160 Views
Na. M. M. Mwanakijiji Mstari Umechorwa Mstari umechorwa ardhini; wauvuke au wasiuvuke, tuvuke tu tusiuvuke. Matukio yote ya kisiasa ya mwaka huu ambayo hitimisho lake lilikuwa ni Oktoba 29...
24 Reactions
44 Replies
987 Views
Ninawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026 Watanzania wenzangu wote. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
0 Reactions
3 Replies
215 Views
Heri ya Mwaka Mpya 2026 Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
0 Reactions
0 Replies
271 Views
Ni ukweli usiopingika kuwa hizo mbinu zote mbili zilizotumika katika vipindi tofauti katika uongozi wa mwenyekiti Mbowe na Lissu zote zimeangukia pua baada ya kushindwa na mbinu za ccm za miaka...
1 Reactions
58 Replies
874 Views
Tunauanza mwaka mpya kwa imani na matumaini, tukijua Mungu anafanya jambo jipya kwa kila mmoja wetu (Isaya 43:19). Heri ya Mwaka Mpya wenye baraka. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu...
0 Reactions
0 Replies
135 Views
Ukiangalia na kuchunguza Kwa makini hali ya mvurugiko wa kisiasa nchini kwetu, utagundua ilianza mara baada tu ya CHADEMA kumchagua Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti wao Taifa. Mpaka leo ingawa CHADEMA...
18 Reactions
48 Replies
663 Views
Sasa hivi anasemaje? Kama Nguvu ilikua sahihi kwa nini leo aone ya kua tumeondokewa na wapendwa au anaamini tumekwisha sahau?Hapakaliki huko?Aendelee kupambana na wananchi, jumuiya za kimataifa na...
8 Reactions
17 Replies
311 Views
Nimemsikia mkuu wa dola Samia Suluhu Hassan, katika salamu za mwaka mpya 2026 amesema "Tumeondokewa na wapendwa wetu, tuendelee kuwaombea" Katika kusema huko hakusema nani kawaondosha hao...
8 Reactions
4 Replies
166 Views
Back
Top Bottom