Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Samia Suluhu Hassan bado yumo katikati ya tatizo kubwa na tishio la maisha yake mwenyewe... Rais Samia Suluhu Hassan bado anatafunwa na kufunikwa na KIBURI na JEURI kwa sababu ya madaraka...
10 Reactions
16 Replies
422 Views
Naami heading pekee inajitosheleza kuelewa nachotaka kuongelea Imekuwa kawaida kwa mashirika na taasisi mbalimbali za serikali kudai fidia pale mteja anapoenda kinyume na makubaliaono ya awali...
1 Reactions
2 Replies
125 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amefika nyumbani kwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu. Leonard Qwihaya, Mbezi Beach...
4 Reactions
3 Replies
303 Views
Chama Cha Mapinduzi kimeibuka na ushindi katika uchaguzi mdogo wa mbunge Fuoni Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar. Matokeo ya uchaguzi huo yalitangazwa usiku wa jana Desemba 30, 2025 katika ofisi...
1 Reactions
3 Replies
234 Views
Wanasemaga kaskazini hatokagi fala. Sasa huyu jamaa anayejiita Paul Makonda, alitoa ahadi kama anaongea na wanafunzi wa chekechea—ahadi hizo ziko wapi? Kwa sasa yuko zake Morocco kwenye AFCON; no...
0 Reactions
0 Replies
97 Views
"Kitu cha thamani ‘mbunge’ anawafanyia wananchi Dodoma Mjini ni kuwapa ‘gari la mazishi’ wakazikane? Kupanga ni kuchagua. Wananchi wa Dodoma Mjini walichagua ‘gari la mazishi’ siyo ‘gari la kubeba...
1 Reactions
2 Replies
155 Views
Internet haisahau. Miaka 12 iliyopita katika kesi ya Lwakatare, aliyekuwa mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa CHADEMA, Tundu Lissu, aliwatuhumu mpiga picha wa Rais Kikwete wa wakati huo...
3 Reactions
4 Replies
387 Views
Mapinduzi ni kunyakua madaraka kinyume cha sheria sio tu ya jeshi kuiba uchaguzi ni mapinduzi ya utawala wa nchi. Wizi wa uchaguzi ni mapinduzi pia, sio tu jeshi lipundue na kushika madaraka...
3 Reactions
5 Replies
233 Views
Salaam Wakuu, Leo natumia Wasaa kumpoongeza Mtu muhimu sana Nchini Tanzania. Msomi asiye na Majivuno wala kufanya kazi kwa Mihemko. Dkt Possi, nakutakia kumbukizi njema ya siku yako ya...
2 Reactions
9 Replies
261 Views
Polisi wameua watu 4 kwa siku moja. Sasa hivi Polisi wanachukulia Binadamu kama kuku. Wanakuua muda wowote wanapojisikia na hakuna cha kufanya. Na ukienda kufuatilia, uliyeenda kufuatilia...
5 Reactions
23 Replies
771 Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mshauri wa Rais, Diplomasia. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Joseph Ludovic ambaye ni mwalimu wa na masomo ya dini mbali na kulaani vurugu za uchaguzi uliofanyika Oktoba 29, mwaka huu ametoa wito kwa viongozi wa dini kuponya taifa kwa kuhimiza maridhiano...
2 Reactions
3 Replies
179 Views
Dr Paula ni Executive Director wa Intelwatch, shirika la kimataifa lililomshitaki Samia na viongozi wa vyombo vya Dola kwenye mahakama ya kimataifa ICC. Mwanamama huyo wakati anaojiwa na gazeti...
61 Reactions
124 Replies
3K Views
1. Aisee leo nimeshangaa sana tumefuzu kwa shida shida hivyo hivyo kuingia 16 bora bado kuna watanzania wenzetu bado wanakejeli na hawa hawa ndo tunataka wawe wanaonewa huruma wakifinywa , Wengi...
7 Reactions
72 Replies
2K Views
Rais ni mwanasiasa sio mungu inapaswa achukuliwe kama mjumbe wa nyumba kumi au mbunge mitizamo hasi juu ya rais ni kichocheo cha matatizo. Rais ni mwanasiasa yule ni sawa na mbunge tuwekeni...
3 Reactions
7 Replies
202 Views
Samia unataka kuridhiana na nani baada ya kuua maelfu ya vijana wa kitanganyika wasio na hatia yoyote? Kabla ya uchaguzi ulianza kuteka wananchi waliokuwa wanakukosoa na kuwapoteza. Majina tunayo...
34 Reactions
48 Replies
2K Views
Mtume Mwamposa akiongea na waandishi wa havari juu ya Mkesha wa Vuka na Chako unaofanyika leo katika Viwanja vya Kawe DSM amesema moja ya jambo lililomsikitisha mwaka 2025 ni mauaji yaliyotokea...
8 Reactions
38 Replies
1K Views
Huyu kigagula alipofikia ni pabaya. GenZ yeyote atakayethubutu kuvamia magereza kisa kaambiwa na shetani Maria ajue kitakachompata sio kitu kizuri. Anaweza pata ulemavu wa kudumu au kifo...
1 Reactions
35 Replies
595 Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye amewatoa wasiwasi wakazi wa Bukoba na wanachama wa CCM kuwa Mbunge wao Stephen Byabato atashinda uchaguzi ujao...
30 Reactions
300 Replies
21K Views
Back
Top Bottom