Jane Flanaga, Africa Correspondent
Sunday December 28 2025, 6.46pm GMT, The Times
Killings, abductions and torture have followed demonstrations over the disputed re-election of Samia Suluhu...
Mwaka 2015 kuna kiongozi mmoja wa CHADEMA ngazi ya Jimbo alikwenda kwenye Kijiji fulani ndani ya Jimbo lake na kukuta uongozi wa Kijiji hicho ni CHADEMA. Akashangaa Sana.
Alipouliza imekuwaje...
Rais Samia ndiyo Rais bora kuwahi kutokea katika nchi hii huyu ndiyo mimi namuweka namba moja kiukweli kwa haya mambo ambayo amefanya kwa muda mchache sana mambo yameonekana kiukweli Rais Samia...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imemtangaza aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godwin Mollel kuwa ndiye mshindi wa Ubunge wa Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro...
Kuna mtu anaelewa msemaji wa serikali Bwana Gerisoni huwa anampostia nani au watu gani wakati ambapo mtandao wa X wameufungia?
Haiwezekani akawa anawapostia diaspora au watu wa mataifa mengine ya...
Nimefuatilia mapambano kati ya polisi na Chadema, kwa sababu ya hukumu ndogo iliyotolewa na Jaji Hamidu Mwanga hivi karibuni.
Jaji Mwanga, anasikiliza Kesi Namba 8323/2025, iliyofunguliwa na...
Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa amesema kusitishwa kwa safari za treni kati ya Morogoro na Dodoma hakutokani na kuharibika kwa reli bali ni hatua za kitahadhari ili kudhibiti...
Hii inafikirisha sana, nchi zilizoendelea muuaji angekuwa tayari ameshakamatwa yupo ndani na ameachia ngazi kulinda heshima ya raia wake na nchi yake.
Lakini Tanzania, Mtu aliyepora uhai wa...
Mwaka 2025 umeisha , ila hope utaanzia ulipoishia, vijana wangu Mungu awepe pumziko la milele pale mlipo ,na hukumu kwa mujibu ya matendo yenu hapa Duniani , najua niliwalea vizuri ,ila Mungu ndo...
Heri ya Mwaka Mpya Wakuu
Huyu Bibi anatuona sisi wajinga na wapumbavu .
Siku anaongea na wazee walevi wa Dar Es Salaam alitunanga kuwa nguvu iliyotumika ilistahili, maana aliridhia na alitoa...
Nadhani kuna watu wanafikiri wakiongea maneno matamu matamu basi watu wa ICC kule The Hague watasahau amri za kuua walizotoa na mauaji ya kutisha ya Oktoba 2025. Hakuna kitu kama hicho.
Anzeni...
Waziri Simbachawene ametoa maagizo mbele ya kamera kwamba ukamataji ufanyike mchana na askari wawe wamevaa sare bila ninja. Na akaongeza kuwa watoe taarifa kwa serikali za mitaa. LAKINI bado...
Mara ya mwisho alitoa masaa 24 na tishio kali sana kwa samia na genge lake.
Kwa alivokuwa anazungumza inaonekana lilikuwa ni jambo lilio ndani ya uwezo wake kuwadhuru magaidi hawa...
Nimeanza na maandiko matakatifu yasemayo "Linda moyo wako kuliko kitu Chochote kwa maana ndiko zitokako chemchem za uhai" (2026 dedication)
Mnaposema wamekufa muwe mnasema wamekufa wakiwa...
Nauliza tuu wana bodi hivi namba 1 na namba 2 walikaa pamoja na wasaidizi wao wakaona watuletee namba 3?? Walitumia vigezo gani?? Au tuwaache tuu waendelee na mambo yao sisi hayatuhusu??
Serikali ya kidikitea. Haiko madarakani kwa lidhaa ya wananchi huwa haina sababu ya kujali mahitaji ya wananchi.
Hii serikali ya haramu iliifungia Jamiiforums kwa siku 90. Siku 90 zilishaisha...
Mfalme Daudi licha ya kuwa ni mteule wa Mungu hakukaa tu na kutegemea maombi kuwakomboa waisrael kutoka kwenye ukatiri wa wafilisti. Daudi alimuua Goliathi kwa mapambano ili kuwaokoa waisrael na...
Rais Samia Suluhu Hassan bado yumo katikati ya tatizo kubwa na tishio la maisha yake mwenyewe...
Rais Samia Suluhu Hassan bado anatafunwa na kufunikwa na KIBURI na JEURI kwa sababu ya madaraka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.