Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tuacheni maigizo suala ni lazima wauaji na watekaji wakamatwe iwe amani au haki lazima wawajibishwe mara moja hatuta waacha madaraka yanaisha
1 Reactions
0 Replies
159 Views
Sasa ni rasmi yupo mtu kati Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa Hakuna mtu ataweza kumteka tena Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi Hakuna kitu atakipanga kisivuje Kiufupi atakuwepo Kama...
142 Reactions
512 Replies
52K Views
Katika History ya CCM haijawahi ahilishaa Kalenda ya Uchaguzi..... Something big is going on inside the party Nawaambia, Kaeni kwa lolote kutokea Naposemaga mambo nakuwa najua! I said before...
130 Reactions
318 Replies
28K Views
Samia akilindwa na kina Mafwele,Wambula na Mkunda alidhani hakuna mtu yeyote KWENYE Dunia hii anaweza mkoromea. The same to Traore akiwa na kabunduki kiunoni basi anajiona yupo na nuclear weapons...
30 Reactions
97 Replies
2K Views
Wapo China ni Taifa Tajiri sana Duniani, wapo waarabu matajiri sana. Hawa watatusaidia. Sisi ni nchi huru msitupangie maisha nyie Ulaya na Marekani. Kwanza hatutaki misaada yenu. Tunajiweza na...
11 Reactions
42 Replies
1K Views
Mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, amezungumzia matukio yaliyotokea mwaka 2025 na kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kulinda tunu ya amani...
2 Reactions
13 Replies
437 Views
WEKENI MBELE MASLAHI YA TAIFA - WAZIRI KOMBO Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amefungua Kikao cha Kwanza cha Baraza la Wafanyakazi...
0 Reactions
11 Replies
958 Views
Kwa muda fulani nimekuwa nikisubiri kwa hamu ili nione jibu kwa swali lililoulizwa hivi kribuni, "who are you?" Nilijua kuna siku jibu litatolewa tu. Na hatimae jibu limetolewa, kama vile tu yale...
9 Reactions
22 Replies
780 Views
Kwenye ukurasa wake wa Instagram Zungu anasema: Wanangu wa Upinzani sio kila kitu mnaweza kubeba kama ajenda msifanye hivyo 🙏yani kila kitu hata kama ni kizuri baadhi yenu mnajaribu kubadilisha...
2 Reactions
29 Replies
797 Views
Wanabodi Mimi ni mwana JF mwenzenu humu JF ni member toka 2006 kwenye Jambo Forum na verified tangu 2008, katika miaka hii zaidi ya 15, nimepandisha mabandiko mengi ya kisiasa, kiuchumi na...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Wanyonge msiumie nyoyo zenyu. Huyu mtu hatutamuacha aingie kuzimu kwa amani. Red Cross wasema lazima alipie. Yeye ajifiche awezavyo wala hiyo haimsaidii hehehee. Yule jamaa wa Baharini. Mzee...
4 Reactions
17 Replies
708 Views
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 04, 2026 amewasili Zanzibar ambapo atashiriki katika uzinduzi wa miradi ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 62 ya...
1 Reactions
18 Replies
615 Views
  • Featured
Wakuu Jeshi la Polisi Tarime Rorya limesema limemkamata Charles Onkuri Ongeta, mwenye umri wa miaka 30 na uraia wa Marekani na Kenya, akidaiwa kuingia Tanzania kupitia mpakani Sirari akiwa na...
23 Reactions
307 Replies
12K Views
Ule mijadala wa haki vs amani umefungwa rasmi. Ccm na Masheikh walikuwa upande wa amani TEC, Watanzania na baadhi ya Masheikh wema hasa kina Ponda (shura ) walikuwa upande wa haki Sasa Leo...
7 Reactions
16 Replies
711 Views
Tumekuwa tukipigiwa kelele sana na watawala wa CCM na vibaraka na machawa wao kuwa HAKI sio priority namba moja dhidi ya AMANI (yaani ukondoo). Lakini Mungu January hii ameamua kutufumbua kwa...
0 Reactions
0 Replies
197 Views
  • Redirect
Namna tulivyochezeshwa leo, itoshe tu kusema, AFCON ni umepigwa mwingi, Refarii mpaka waliokuwa VAR, Lao lilikuwa moja tu Haiwezekani ligi hiyo inajisiwe, wakaamua kusuka harakati za lazima...
0 Reactions
Replies
Views
Katika kipindi ambacho Taifa linapitia majonzi kwa familia nyingi kupoteza Ndugu zao Kwa matukio ya tarehe 29 Oktoba 2025, na kuacha mayatima wengi bila hata mayatima Hawa kutokuwa wazazi wao...
0 Reactions
10 Replies
381 Views
Katika miezi ya hivi karibuni baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu ulofanyika tarehe 29 Octoba mwaka jana bado kumekuwepo na hali ya sintofahamu pale ambapo watu wapotea tu mitaani na vitongojini...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
Niseme kwamba sijapendezwa na wachezaji wa Tanzania pamoja na benchi la ufundi kutaka kuvunja Amani Refa kachezesha kwa Amani wanataka nini tena? Kuandamana, kwa lipi? Eti kudai haki, haki...
14 Reactions
8 Replies
341 Views
“Magumu yaliyokupata wewe, yalikupata kwasababu mimi nilikataa nilikataa Utekaji na mpaka leo nakataa UTEKAJI vilele”-; Bishop Gwajima a.k.a Jasusi la Mbinguni.
3 Reactions
17 Replies
534 Views
Back
Top Bottom