Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sasa kwanini mnaendelea kulalamika sasa? tulizeni vichwa sasa sio kelele nyingi ============= Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo , Dorothy Semu amesema chama hicho hakijutii wala hakitajutia...
2 Reactions
8 Replies
268 Views
Nchi ya Uzberkistan inaanza kuibadili Gesi Asilia kuwa petroli, dizeli, mafuta ya ndege, mafuta ya taa, na Gesi ya LPG ya kupikia. Nchi ya Uzberkistan ina mpango wa kuanza uzalishaji katika...
3 Reactions
72 Replies
5K Views
Petroli ni moja ya mafuta ambayo huagizwa kutoka katika mataifa ya nje kwa ajili ya kutumiwa katika magari madogo na ya kati. Mafuta ya petroli ambayo yanaigizwa kutoka mataifa ya nje yanachukua...
3 Reactions
69 Replies
6K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohammed Omar Mchengerwa, akiwa ziarani mkoa wa Kilimanjaro ametangaza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
2 Replies
422 Views
Kwa mara ya Kwanza baada ya Uhuru Tanzania imepata Rais Samia apewe maua yake. Serikali ya Rais Samia imeandika Historia nyingine ya ubunifu kwa kusaini kuanza ujenzi wa barabara za kuu za lami...
38 Reactions
494 Replies
35K Views
Spika mstaafu wa Bunge, Anne Makinda, amesema Watanzania wamezidi maneno badala ya vitendo, akiwataka kubadili mtazamo huo kwa kuiga mfano wa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera...
4 Reactions
9 Replies
226 Views
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Tanga, Michael Haule, ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake ya uongozi pamoja na kujiondoa ndani ya chama hicho, akitaja sababu...
4 Reactions
17 Replies
329 Views
Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Suleman Bungara, 'Bwege' amesema kuwa kitendo cha kufunga makanisa au kushambuliwa kwa viongozi wa dini hiyo kitendo hicho wangefanyiwa dini ya Kiislam...
18 Reactions
13 Replies
574 Views
Wakuu Mzee Bwege katika mahojiano aliyofanyiwa hivi karibuni amekiri kuwa hakuna mpinzani wa kweli kwa sasa nchini anayetaka mabadiliko zaidi ya Lissu na ndiyo maana walijaribu kumuhona...
1 Reactions
4 Replies
303 Views
Uchunguzi wetu umebaini kwamba hakuna Mwananchi yoyote wa TANZANIA anayefuatilia Ripoti ya CAG Zaidi ya vyombo vya Habari ambacho navyo viko kazini ili vijaribu kuuza habari hiyo Duni isiyo n.a...
15 Reactions
36 Replies
648 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2024/2025; Taarifa ya Utendaji wa Taasisi ya Kuzuia...
5 Reactions
26 Replies
729 Views
kKWakuu, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, ametoa hotuba nzito na ya aina yake akiwashutumu viongozi na watawala nchini kwa kile alichokiita...
19 Reactions
42 Replies
950 Views
Hata saa mbovu kuna muda inasema kweli mara mbili kwa siku. Kila mtu ana jinsi anamkumbuka Mtu. Mimi Wosia wa Lukuvi ambao nimeuweka moyoni ni tahadhari aliyotoa kuhusu Watu kutoka Zanzibar...
5 Reactions
15 Replies
662 Views
Achana na ile misaada ya Marekani ya dola bilioni 4 kila mwaka (trilioni 10) ambayo huwa sio cash, huwa ipo katika mfumo wa silaha na vifaa Dola bilioni 271 ndio bajeti yao Israel, ni shilingi...
2 Reactions
10 Replies
329 Views
Leo, Jumapili, Machi 29, 2026, inatumika kama siku maalum ya maombi na kumbukumbu ya kitaifa kwa ajili ya watu waliouawa, waliojeruhiwa, au kupotea wakati na baada ya matukio ya Oktoba 29, 2025...
9 Reactions
78 Replies
1K Views
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere akisoma Ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, Machi 30, 2026, Ikulu Dar es Salaam amesema ongezeko la upotevu wa...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
Vijana waimba mapambio ya serikali ni wasaliti kwa nchi ni vijana wanaostahili kunyongwa kwenye maana nao ni wanufaika na huu wizi wa riport ya CAG huwezi kuona vijana wakipiga na kuumizwa na huu...
3 Reactions
25 Replies
362 Views
Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Tanga, Michael Haule, ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake ya uongozi pamoja na kujiondoa ndani ya chama hicho, akitaja sababu...
0 Reactions
6 Replies
216 Views
Ukisikia Kauli ya Gerson Msigwa kuhusu kupigwa kwa Mihela kwenye ujenzi wa uwanja wa soka wa Arusha utashangaa sana kama Kuna Kiongozi wa serikali ya ccm Ambaye hajatajirika Na kama yupo...
2 Reactions
7 Replies
250 Views
Huyu Mzee alikuwa shujaa wa ajabu sana! Wakati viongozi wa CHAMA CHAKE CHA ACT wakipigania SUK BIla kujali mauaji ya 29 octoba, yeye akaamua kutangazwa kujiunga na CHADEMA, akiwa kwenye wheel...
0 Reactions
7 Replies
163 Views
Back
Top Bottom