Asante AFCON 2025. Ule mjadala wa Haki Vs Amani umefungwa rasmi

Ule mijadala wa haki vs amani umefungwa rasmi. Ccm na mashubwabwa walikuwa upande wa amani TEC watanzania na baadhi ya mashehe wema hasa kina ponda (shura ) walikuwa upande wa haki Sasa Leo AFCON imeifundisha ccm na mashubwabwa kipi ni muhimu zaidi.asante AFCON 2026.
Interestingly, mashehe ubwabwa wako kwenye maandalizi ya dua al badri ili kumuangamiza referee wa hiyo mechi kwa kutoitendea haki Taifa Stars. Stay tuned!😁
 
Ule mijadala wa haki vs amani umefungwa rasmi. Ccm na mashubwabwa walikuwa upande wa amani TEC watanzania na baadhi ya mashehe wema hasa kina ponda (shura ) walikuwa upande wa haki Sasa Leo AFCON imeifundisha ccm na mashubwabwa kipi ni muhimu zaidi.asante AFCON 2026.
Refa kawanyoosha majizi ya kura ili wajue uchungu wa kupokwa haki.
 
IMG-20260105-WA0000.jpg
 
Nukuu toka kwa wakili madereka:REFA wa leo HANA tofauti na INEC 😂😂. There is NO DIFFERENCE between AFRICAN POLITICAL ELECTION and AFRICAN FOOTBALL REFEREEING.

Poleni mnaopenda AMANI bila haki.Refa wa Leo alikuwa hataki kusikia haki kwa sababu yeye ni mdau wa Amani alikuwa anapenda Amani kuliko haki wamorocco wangesababisha Amani itoweke😂😂.

Mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu.

Tuzo ya Nobel imfikie refa kwa kuitumza AMANI .
20260105_053521.jpg
 
Nukuu toka kwa wakili madereka:REFA wa leo HANA tofauti na INEC 😂😂. There is NO DIFFERENCE between AFRICAN POLITICAL ELECTION and AFRICAN FOOTBALL REFEREEING.

Poleni mnaopenda AMANI bila haki.Refa wa Leo alikuwa hataki kusikia haki kwa sababu yeye ni mdau wa Amani alikuwa anapenda Amani kuliko haki wamorocco wangesababisha Amani itoweke😂😂.

Mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu.

Tuzo ya Nobel imfikie refa kwa kuitumza AMANI .View attachment 3525443
😀😀😀😀
IMG-20260105-WA0000.jpg
 
Kipaumbele ni amani tu,haki mtapata mkirudi kwenu
 
Attachments

  • downloadfile.jpg
    downloadfile.jpg
    112.4 KB · Views: 23
Namna tulivyochezeshwa leo, itoshe tu kusema, AFCON ni umepigwa mwingi,

Refarii mpaka waliokuwa VAR, Lao lilikuwa moja tu

Haiwezekani ligi hiyo inajisiwe, wakaamua kusuka harakati za lazima nchi ya wahuni iendelee
 
Ule mijadala wa haki vs amani umefungwa rasmi. Ccm na mashubwabwa walikuwa upande wa amani TEC watanzania na baadhi ya mashehe wema hasa kina ponda (shura ) walikuwa upande wa haki Sasa Leo AFCON imeifundisha ccm na mashubwabwa kipi ni muhimu zaidi.asante AFCON 2026.
Nilidhani mutaandamana mufanye uharibifu, muue na kuiba kwa kukosa haki lakini sijaona hilo likitokea! Kunani?
 
Back
Top Bottom