Samia ,Traore chungeni ndimi zenu na waheshimu Mabeberu

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,503
Reaction score
11,347
Samia akilindwa na kina Mafwele,Wambula na Mkunda alidhani hakuna mtu yeyote KWENYE Dunia hii anaweza mkoromea.
The same to Traore akiwa na kabunduki kiunoni basi anajiona yupo na nuclear weapons.

Jifunze kilichomkuta Madulo, alikuwa na mdomo, mikwara, na kuwatesa wapinzani, baada ya kuungwa mkono na China na Russia akajiona amefika.

Leo marekani Kwa kutumia kikosi hatari Cha Delta Force wamemdaka Madulo kama panya. Yaani within 3 hrs inapigwa operation na head of state anadakwa.

Samia chunga mdomo wako,Nchemba chunga mdomo wako, hao kina Mafwele, Wambura na Mkunda ikitumwa chapa F-16 wanakuwa majivu.

Jifunze Kwa Kagame, na sio kujiona unaweza ku battle na US na EU.

Mto wa mbu
 
Jamaa ni hatari sana aisee, unaropoka wanakuangalia kama hawakuoni vile, kumbe wanasuka mipango under ground ,wakikamilisha tu wanakufata mpaka chumbani na hakuna wa kukusaidia Mchina atabaki anakutazama kwenye bbc tu na kulaani vikali akiwa nyumbani kwake anakula mishikaki ya chatu
 
Kama namuona mchina akiangalia habari BBC huku anabugia popo.
 
Mambo ya maslahi hayo.
Wakwetu akiwabania rasilimali zetu kaisha.
Sasa mliokuwa mna mlaani Putin Kuvamia Ukraine kutetea watu wa Dobas mje mlaani kuvamiwa kwa Venezuela kwa kigezo cha kutetea au kulinda demokrasia.
Duniani ukoloni haujaisha.
 
Jamaa ni hatari sana aisee, unaropoka wanakuangalia kama hawakuoni vile, kumbe wanasuka mipango under ground ,wakikamilisha tu wanakufata mpaka chumbani na hakuna wa kukusaidia Mchina atabaki anakutazama kwenye bbc tu na kulaani vikali akiwa nyumbani kwake anakula mishikaki ya chatu
Daaah you have made my day😄
 
Mambo ya maslahi hayo.
Wakwetu akiwabania rasilimali zetu kaisha.
Sasa mliokuwa mna mlaani Putin Kuvamia Ukraine kutetea watu wa Dobas mje mlaani kuvamiwa kwa Venezuela kwa kigezo cha kutetea au kulinda demokrasia.
Duniani ukoloni haujaisha.
Are crazy? Madulo alishnda uchaguzi Gani? Samia kashinda uchaguzi Gani? Hujiulizi why Wavenezuera wanashangilia
 
Jamaa ni hatari sana aisee, unaropoka wanakuangalia kama hawakuoni vile, kumbe wanasuka mipango under ground ,wakikamilisha tu wanakufata mpaka chumbani na hakuna wa kukusaidia Mchina atabaki anakutazama kwenye bbc tu na kulaani vikali akiwa nyumbani kwake anakula mishikaki ya chatu
🤣🤣🤣
 
Samia akilindwa na kina Mafwele,Wambula na Mkunda alidhani hakuna mtu yeyote KWENYE Dunia hii anaweza mkoromea.
The same to Traore akiwa na kabunduki kiunoni basi anajiona yupo na nuclear weapons.

Jifunze kilichomkuta Madulo, alikuwa na mdomo, mikwara, na kuwatesa wapinzani, baada ya kuungwa mkono na China na Russia akajiona amefika.

Leo marekani Kwa kutumia kikosi hatari Cha Delta Force wamemdaka Madulo kama panya. Yaani within 3 hrs inapigwa operation na head of state anadakwa.

Samia chunga mdomo wako,Nchemba chunga mdomo wako, hao kina Mafwele, Wambura na Mkunda ikitumwa chapa F-16 wanakuwa majivu.

Jifunze Kwa Kagame, na sio kujiona unaweza ku battle na US na EU.

Mto wa mbu

Sipati picha Chopa la Trump linatua pale Chamwino au Magogoni linaondoka na mtu wao, nadhani JW na TISS itabidi waimarishe ulinzi wa kutosha hususani wa Chopa za JW kuzunguka masaa 24 katika viunga vya Ikulu
 
Mambo ya maslahi hayo.
Wakwetu akiwabania rasilimali zetu kaisha.
Sasa mliokuwa mna mlaani Putin Kuvamia Ukraine kutetea watu wa Dobas mje mlaani kuvamiwa kwa Venezuela kwa kigezo cha kutetea au kulinda demokrasia.
Duniani ukoloni haujaisha.
Maduro dikteta, lolote baya limkute, Zelensky alichaguliwa kwa kura katika uchaguzi huru na haki.
 
Hivi Delta Force walijuaje mazingira na ramani halisi ya mapigano???
CIA unawajua ?? Wana info za kila kitu wanavhokitaka kuwa nao...kuna planners wa vita......strategist ndio kazi yao....ikulu zote muhimu wanazo ramani zake...kumbuka wana satelite feed kila siku wanajua kila nyumba ina watu wangapi kila siku wana record yao....wanajua hata kiz analala wapi .....ana hidevout sites ngapi....
 
Back
Top Bottom