Kwa ufupi sana kipindi majanga yanatokea hapo mgodini MSASA GEITA nilikuwepo na niliona kila kitu hadi jioni inafika nilikuwepo kuangalia kila hatua iliendelea...
Itoshe kusema taarifa...
Wakuu msilalamike sana, kwani kitu gani kipya kinachizidi kuua watu zaidi ya 10000!? Haya mengine ni madogo, mtu aliyeweza kufanya hayo hawezi kushindwa kufanya kingine chochote l.
UONGOZI NI KUSIKILIZA: SOMO KUTOKA KWA DKT. MWIGULU NCHEMBA
Katika siasa na utumishi wa umma, nguvu ya kiongozi mara nyingi hupimwa kwa uwezo wa kuzungumza na kuamua. Hata hivyo, kipimo cha juu...
Naomba mods muache huu uzi kwa faida ya wenzetu wa EWURA.
Kwa nyinyi kukusanya maoni juu ya kuoingezea IPTL mkataba naamani mtakuwa mnafanya hivyo kwa mujibu wa sheria kwani bila shaka sheria...
Rais Samia na mwanao andaeni mlio
Rais Samia na mwanao Abdul andaeni mlio mtakaokuwa mkilia pale muda wa kukandwa kwenu utakapofika kwa madudu mnayoyafanya mkiwa Ikulu.
1. Kisiasa
Kisiasa Rais...
Spika wa Bunge, Mussa Zungu amemuagiza Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi kukutana na Kamati ya Bunge ya Nishati ili kujua hatma ya hali na mwenendo wa kupanda kwa bei ya mafuta nchini.
Zungu...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, mpango wa kuwawezesha vijana kwa kuwapa ujuzi na mahitaji ya kuwawezesha kuanza shughuli za kilimo unakwenda kubadili hostoria ya Afrika.
Kupitia mpango huu wa BBT...
Kama Mwanachadema wa Kanda ya Kaskazini wa Chadema, naijua kanda hii vizuri – tumejenga imani ya wananchi kwa miaka mingi, tumevumilia mateso, na tumeendelea kuwa nguvu ya mabadiliko
Nawakumbusha...
02 April 2026
Katika kipindi hiki cha Kivulini Talks, washiriki wamejadili juu ya hali ya vyombo vya habari Tanzania.
https://m.youtube.com/watch?v=gRQFP4i8O_o
Source :: the chanzo
Amani iwe kwenu wachambuzi jadidifu.
Ninaleta hoja kwenu ili tuelimishane ikibidi tukosoane ama kuwajibishana
Wanasiasa wengi kama siyo wote, wamekuwa wakionesha matendo yao fulani fulani kwa...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini, Ndonde Totinan amejiondoa rasmi katika nafasi yake pamoja na kujivua uanachama wa chama hicho, akieleza kuwa uamuzi...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ametoa mapendekezo yake ya namna ya kudhibiti ubadhirifu wa mali za umma nchini Tanzania, akisisitiza kuwa bila mabadiliko...
Nashangaa kuona mtu amesoma Sheria lakini bado hajui mchakato wa report ya CAG kikatiba upoje?
Yani mwanasheria analalamika Leo juu ya taarifa ya CAG wakati ndo kwanza ipo hatua ya...
Hivi jamani kuna ugumu gani Serikali kuanzisha vyuo vikuu vya maswala ya dawa za asili?
Nilidhani pale Muhimbili wanatoa kozi kumbe ni wizi mtupu hakuna cha maana Serikali ilitizame hili swala...
Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe, ameomba mwongozo kuahirishwa kwa Bunge ili kutoa nafasi ya Wabunge wote kujadili matukio ya utekaji watu yanayoendelea...
Wakuu,
Ikulu wawekea post kuwa Rais Samia ameitikia wito wa wagombea nafasi ya Urais kwa vyama 16. Kwa maneno mengine ni kwamba hawa wagombea ndio wameomba mkutano na Rais Samia ili wajadili...
Wakati mwingine mbunge ukikosa hoja ni bora ukakaa kimya. Kuwaambia wananchi wasiwe na mihemko ni tusi kubwa sana kwa wapiga kura. Mbunge ungetakiwa kuwafariji wananchi wakati huu serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.