Pindi ambapo migogoro inakomeshwa juu juu bila kushughulikia chanzo chake kama dhuluma, ukandamizaji, utekaji, mauaji, ubaguzi, umasikini au kunyimwa haki, hali ya utulivu inayopatikana huwa ya...
MADHARA YA KUMWAGA DAMU ISIYO NA HATIA KULIKOFANYIKA KTK NCHI YETU
Baadhi ya Nukuu ktk hotuba hii:
Askofu Gwajima: "...Haiwezekani unamuona mama mmoja anaenda shambani au kwenye shughuli zake...
Venezuela ilikuwa ikitizamwa kwa macho ya matamanio na mataifa haya makubwa ya RUSSIA, CHINA na USA. Kwa muda mrefu. USA amewahi kuinyakua makusudi akijua kama angechelewa wenzake wangefaidika nayo.
Ogopa sana watu ambao wapo na wewe kwasababu tu ya hela wanaitwa chawa wakati ukienda jera hutawaona endelea kuuwa urais unaisha
Machawa wana mchawia kwasababu amewanunua kwa hela ngoja muda...
Utawala wa Venezuela kwa wavenezuela ulikuwa mbovu na mbaya mno kiasi cha kusema ni bora waingie wazungu labda wana huru.
Kuibiwa na mtu mweusi, bora mzungu
Naungana na mange Kimambi lolote...
Mchungaji Godfrey Malisa, aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi mkoani Kilimanjaro akikabiliwa na kosa la uhaini. Kesi hiyo (Namba...
Kazi ngumu zaidi hapa duniani na ya kutisha zaidi, ni pale mtu anapofikia kiwango cha kudharau uhai wa mtu mwingine na kuamua kuwa muuwaji
Ujasiri huuhuu utumike pia siku ya Kesho kumwangamiza...
Taarifa ya hivi punde...
Mmarekani mwenye asili ya Tanzania ambaye alikamatwa huko Kilimanjaro kwa ‘maagizo toka juu’, ameachiwa huru jioni ya leo.
KWA KINA:
Thadei Kweka ameachiwa huru leo...
Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) ameweka jiwe la msingi kwa ujenzi wa Jengo la mafunzo kwa watumishi wa Umma katika Chuo cha Utawala wa...
Nilikuwa sijui bwana kumbe kila taarifa ya aliye tekwa bila kuonekana zipo na aliyetekwa akaokotwa marehemu pia kumbe zipo,kumbe watu wanazikusanya na kuzihifadhi kwa ustadi mkubwa sana eeh Mungu...
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua rasmi Bima ya Afya kwa Wote Januari hii, kwa kutoa kadi ya mfano kwa kaya maskini, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi yake ya siku 100 za...
Umoja wa Afrika (AU) umeeleza kuwa una “wasiwasi mkubwa” kufuatia mashambulizi ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Venezuela na hatua ya kukamatwa kwa Rais Nicolás Maduro na utawala wa Rais wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.