Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1.Tekeleza miradi ya maendeleo kwa zaidi ya asilimia 90 ambayo uliahidi katika ilani ya CCM 2. Fanya restructuring katika vyombo vya ulinzi na usalama hass polisi .nimeona umemuondoa waziri wa...
2 Reactions
12 Replies
308 Views
Mwenyekiti wa baraza la vijana CHADEMA(BAVICHA) Patrobasi Katambi inadaiwa anashikiliwa na polisi, bado tunafatilia sababu za kukamatwa kwake na viongozi wengine, lakini kwa tip iliyopo ni kwamba...
1 Reactions
165 Replies
23K Views
Siku mbili hizi akiwa huko Zanzibar, alinukuliwa akisema kuwa namba 1 atawaongezea posho wazee wa kaki. Hiyo ni kweli na taratibu zote zilishafanywa. Ila sasa barua yenye huo muongozo pale juu...
7 Reactions
8 Replies
600 Views
Huyu jamaa watu tumeamua kufukua makaburi yake yote ya nyuma! Leo acha tuanze na hili tukio ambalo binafsi liliniacha mdomo wazi baada ya Makonda alipokata kuomba msamaha kwa Clouds baada ya tukio...
2 Reactions
2 Replies
181 Views
Kuanzia sisi tuliojaariwa uhai na mwenyezi Mungu sasa hadi vizazi vyote vinavyokuja vya Tanzania na hasa Tanganyika historia ya Nchi yetu hatutaisimulia kwa kuwaeleza kina Mkwawa au Nyerere kama...
7 Reactions
10 Replies
760 Views
Wanabodi. Naanza na kanuni ya haki duniani inayoitwa "the presumption of innocence until proven guilty" Yaani mtuhumiwa yoyote anahesabiwa kuwa hana hatia hadi atakapotiwa hatiani, na mahakama...
92 Reactions
886 Replies
103K Views
Hapo chini hakuna majirani na ndugu zetu wa Kenya kwasababu wenyewe wana katiba, HAKI, demokrasia hivyo pamoja na kwamba ni majirani na ndugu zetu hawamo. Vilevile Kenya walipewa $1.6B kwenye Afya...
8 Reactions
22 Replies
464 Views
Kwa uongozi huu: HAKI ni neno Haramu - waziri wa Mambo ya ndani katolewa!! Mapolisi sasa wa juu wanajiona wanamzidi mpaka waziri!! wameshanusa damu sasa wanajiona kama Simba
4 Reactions
8 Replies
385 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kilichopatikana kwa Maombi hulindwa kwa Maombi na kilichopatikana kwa uchawi na makafara hulindwa kwa uchawi na makafara yakiambatana na matambiko yasiyo kwisha. Kwa...
10 Reactions
259 Replies
13K Views
Kama ilivyokuwa kwa Nguza Samike katibu binafsi wa Rais Magufuli na sasa tuna Waziri Rajab Salum katibu binafsi wa Rais Samia. Huyu ndiye mtendaji wa shughuli zote binafsi za Rais Samia katika...
20 Reactions
276 Replies
57K Views
Mwigulu anyimwe mic tafadhali anazidi kukera :Angy: ---------- Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, amevituhumu vyama vya upinzani, hususan CHADEMA, kwa kile alichodai kuwa ni mkakati wa...
5 Reactions
29 Replies
739 Views
GT Samia anachofanya wakati ninyi mkiamini amejificha lakini yeye anapeleka serikali huko na kuongeza mzunguko wa fedha. Ikulu inapohamia mahali pilikapilika zinakuwa nyingi. Hotels na migahawa...
3 Reactions
17 Replies
343 Views
Hawa waandamanaji watakuwa wameokotwa wapi na haya madela na hijabu zao?
13 Reactions
49 Replies
1K Views
Nchi imekuwa ya wapumbavu sana hii najua hali wanayopitia watanzania wazalendo simu za vitisho haziishi kuna watu wameajiriwa kutuma hizo simu. Lazima tujiulize hivi sisi ni malofa na majimga...
3 Reactions
4 Replies
163 Views
Uhuru wa habari utazidi kuminywa.. Vyombo vitazidi kuminywa na mateso yatazidi zaidi.. Maana ya kumteua ni moja tu.. Kumaliza yale yote yaliyobaki... Kumbuka huyu ni mpenda Sifa yaani hapo Dully...
2 Reactions
0 Replies
189 Views
Patrick Kipangula- Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari Tanzania (JAB) anahoji waliotaka matukio ya Oktoba 29 yarushwe na vyombo vya habari walikuwa kina nani na walitaka...
4 Reactions
24 Replies
630 Views
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika mkutano na madereva pikipiki, bajaji na machinga wote leo Januari 8, 2026 katika ukumbi wa Kimataifa cha...
3 Reactions
32 Replies
831 Views
1. Amevamia Venezuela 2. Ameua binti huko kwake kwa kutumia askari wa immigration 3. Anataka kuitwaa Greenland kwa nguvu 4. Anawaza kuivamia Columbia 5. Kote alikosulujisha ameshindwa..Rwanda na...
10 Reactions
41 Replies
790 Views
Habari wakuu.. Naibu Waziri wa Michezo, Mh. Makonda sijamsikia tangu ameingia serikalini/ kuteuliwa. Yuwapi Bro? Hatujamzoea hivi
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Hamjambo! 1. Wale wazee wa political analysis and evaluation mtakubaliana na Mimi kuwa vijana WA sasa wa CCM hawana ushawishi. Hawana mvuto. 2. Siongei kisiasa naongea uhalisia wa mambo ulivyo...
13 Reactions
38 Replies
863 Views
Back
Top Bottom