Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Limeungua soko la Kariakoo, waziri mkuu akaunda tume, hadi leo wahanga hawajulishwa, wala umma haujajulishwa ni nini kilichopo ndani ya ripoti hizo. Sio tu Kariakoo, bali masoko yote yaliyowahi...
0 Reactions
27 Replies
1K Views
Mbunge wa Lulindi, Issa Mchungahela amesema dhana iliyojitokeza kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) anaifedhehesha serikali ni potofu, kwani ukaguzi ni dhana ya utawala bora.
3 Reactions
3 Replies
247 Views
TAARIFA KWA UMMA Kumejitokeza shutma zilizotolewa na wazazi na walezi kuhusu malipo ya wanafunzi walioshiriki katika halaiki ya uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026. Shutma hizo...
6 Reactions
11 Replies
411 Views
Algorithm imenitumia hii youtube doc about tanzanite mafia kuna mpaka al-qaida ndani, Sijui kama ni ya zamani na ilishawekwa hapa jf, lakini its interresting...
6 Reactions
19 Replies
561 Views
Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola amemtaka Waziri Mkuu kuwashughulikia waliobainika kufanya wizi na ubadhirifu kupitia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). “CAG...
0 Reactions
6 Replies
223 Views
Akichangia Bungeni Aprili 8, 2026, Mbunge wa Jimbo la Biharamulo Eng. Ezra Chilewesa. "Tunaomba wanaotoa matamko serikalini, kama ni mtendaji huna experience ya kuongea, sisi wanasiasa tuna...
0 Reactions
6 Replies
289 Views
  • Redirect
JE TANZANIA IMEKIUKA AU INAKIUKA MKATABA WA UANZISHWAJI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JUU YA WAHESHIMIWA JAMES KINYASI MILLYA, NG'WARU MAGHEMBE NA ANJELA CHARLES KIZIGHA KUENDELEA KUWA WABUNGE WA...
1 Reactions
– Replies
– Views
Ushirika huu...! Mzee Rugemalira atoa Sh200 milioni kwenye mahafali ya Kajumulo Girls High School ~ wavuti
1 Reactions
12 Replies
4K Views
  • Redirect
Fedha za malipo kwa wanafunzi wa halaiki walioshiriki uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru zimezua sintofahamu, huku baadhi ya wazazi na wanafunzi wakidai kudhulumiwa, wakati Serikali ikitoa...
0 Reactions
– Replies
– Views
Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu akizungumza bungeni leo Aprili 08, 2026 ameiomba Serikali kukata matumizi yasiyo ya lazima kwa kipindi hiki ili pesa itakayopatikana isaidie kuweka...
0 Reactions
2 Replies
144 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Aprili 8, 2026 amefanya mazungumzo na Balozi wa Qatar nchini, Fahad Rashid Al-Marekhi, Ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma.
0 Reactions
0 Replies
122 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema hakuna mtoto anayepaswa kuachwa nyuma katika jamii, akisisitiza kuwa kuwahudumia watoto wenye mahitaji maalum si hisani bali ni wajibu wa pamoja wa jamii...
0 Reactions
3 Replies
184 Views
Ni wazi uelekeo wa Taifa letu kwa sasa, ni kwenye matumizi ya nishati ya gesi asilia majumbani, viwandani na katika sekta ya usafirishaji. Hii itasaidia kuondokana na taharuki zisizo za lazima...
3 Reactions
40 Replies
582 Views
Wanabodi Niko kwenye ibada ya mazishi ya msiba wa jirani yangu mmoja, katika Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Parokia ya Bikira Maria Mama wa Huruma (BMMH), Mbezi Beach, Dar es...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Oxford umeonesha kuwa katika nchi 13 tajiri zaidi duniani, takribani asilimia 25 ya nguvu ya uchumi hutokana na ufanisi wa kitaasisi. Hii ina maana kuwa...
4 Reactions
10 Replies
846 Views
KUIBIWA NA KUPOTEA KWA NYETI NI SYMBOLISM INAYOELEZEA HALI INAYOWEZA KUWA INAENDELEA KWENYE NCHI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Kwa Sisi wataalamu wa Lugha, Saikolojia na sosholojia...
7 Reactions
20 Replies
860 Views
Wakuu, Kuna makala nimeisoma leo kwenye gazeti la The New York Times (NYT) imenifanya nitafakari sana kuhusu hatima ya nchi yetu na uwezo wa viongozi wetu kuona mbali (vision). Makala inahusu...
2 Reactions
6 Replies
370 Views
Back
Top Bottom