Yuko wapi Naibu Waziri wa Michezo, Paul Makonda?

Yuko wapi Naibu Waziri wa Michezo, Paul Makonda?

Nadhani ungesema naibu waziri wa michezo batili wa serikali batili ya samia ungeeleweka zaidi,kitu chengine swali lako linaweza lisipate majibu kwa kuwa wengi hawamjui Paul Makonda ila wanamjua Daudi Bashite
 
Habari wakuu..

Naibu Waziri wa Michezo, Mh. Makonda sijamsikia tangu ameingia serikalini/ kuteuliwa.

Yuwapi Bro? Hatujamzoea hivi
😅😅😅
Pole yake. Nyie hapa JF ndo mlimponza. Eti PM ajaye. Pole yake anakula chai tu ofisini...
 
Back
Top Bottom