Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hayo yamesemwa na bodaboda katika kongamano la mwaka la Wamachinga, madereva pikipiki na bajaji za kubeba abiria ambapo Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ni Mgeni Rasmi. Mkutano huo umefanyika katika...
1 Reactions
6 Replies
211 Views
𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗡𝗔𝗭𝗨𝗡𝗚𝗨𝗠𝗭𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗖𝗛𝗜𝗡𝗚𝗔, 𝗠𝗔𝗗𝗘𝗥𝗘𝗩𝗔 𝗣𝗜𝗞𝗜𝗣𝗜𝗞𝗜 𝗡𝗔 𝗕𝗔𝗝𝗔𝗝𝗜 WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo 08 Januari 2026, anazungumza na Wamachinga pamoja na madereva wa pikipiki na bajaji za...
0 Reactions
4 Replies
194 Views
Mfanyabiashara na mdau maarufu wa maendeleo nchini, Azim Dewji, amewatahadharisha Watanzania kuwa makini na viashiria vya vurugu ambavyo vinaweza kutoa mwanya kwa mataifa ya nje kuvamia na kupora...
5 Reactions
56 Replies
1K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekanusha madai ya Padri wa Kanisa Katoliki Dk Charles Kitima kuhusishwa na siasa za chama hicho kikieleza kwamba si mwanachama wa chama hicho na wala...
4 Reactions
20 Replies
536 Views
Nchi hii haina viongozi wenye vision waliopo wanaongoza kwa kutengeneza matukio ili kujaribu kuwasahaulisha wananchi yaliyotokea MO29. Tusubiri leo Mwigulu atakuja na igizo gani, amesahau wahanga...
2 Reactions
3 Replies
209 Views
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema kuwa hapa nchini Tanzania hakuna mwenye amani; si waliochaguliwa, si...
4 Reactions
9 Replies
383 Views
"Kuna kitu kimetengenezwa katika nchi hii na watawala ile sera yao susi inaitwa wagawanye watawale ndiyo ambao wanatumia hao watawala ambao wanauroho wa madaraka ninaomba watanzania hiyo sera...
0 Reactions
1 Replies
156 Views
Wadau mbalimbali wakichangia maoni yao katika kongamano kubwa la waamachinga na bodaboda nchi nzima linalofanyika jijini Dar es salaam likiongozwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
127 Views
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema tulipofikia katika taifa hili kila aliye na mawazo tofauti anaitwa...
4 Reactions
7 Replies
290 Views
https://youtu.be/hCgMt6sD0zM?si=dqkSFZPmFfSlwzUZ Tutaelewana tu Eti jumla ya wapiga kura 32,000,000 plus walitokeza kupiga kura... Kati ya hawa wote eti 98% wakampigia kura Samia Suluhu Hassan...
6 Reactions
30 Replies
865 Views
Na Mchambuzi Chura wa Siasa za Kimataifa Januari 7, 2026, itakumbukwa kama siku ya kihistoria katika diplomasia ya ulimwengu baada ya Rais Donald Trump kutangaza rasmi kuiondoa Marekani katika...
1 Reactions
2 Replies
280 Views
Haki za wanawake: Dunia inafanya majaribio (pilot study) kuhusu wanawake (women empowerment) kushika nafasi kubwa duniani. Dunia nzima inawaona chadema (wanaume) kama vile wanachukua advantage kwa...
1 Reactions
37 Replies
570 Views
Nchi inapaswa kuwa salama kwenye maeneo 3; 1. Kiuchumi 2. Kijamii 3. Kisiasa Kisiasa Katiba ya Nchi yetu inatambua nchi yetu kuwa ya Kidemokrasia. Hii maana yake ni kwamba ili nchi iwe salama ni...
17 Reactions
69 Replies
2K Views
Wakuu, huyu hapa ni dada Mkatoliki aliyekuwa akichangia kwenye kipindi cha Malumbano ya Hoja cha ITV. Alijitambulisha kama Lucy Antony Michael, Katibu wa UVCCM, akitokea Wilaya ya Temeke. Katika...
16 Reactions
57 Replies
2K Views
Kupitia Ukurusa wake wa X zamani Twitter anaandika Mwanasiasa Emmanuel Ntobi, Kwa mara ya kwanza kabisa katika historia ya Tanganyika, Baraza la Mawaziri halina hata Waziri mmoja kutoka Kanda ya...
4 Reactions
37 Replies
736 Views
𝗞𝗢𝗡𝗚𝗔𝗠𝗔𝗡𝗢 𝗟𝗔 𝗪𝗔𝗠𝗔𝗖𝗛𝗜𝗡𝗚𝗔, 𝗠𝗔𝗗𝗘𝗥𝗘𝗩𝗔 𝗣𝗜𝗞𝗜𝗣𝗜𝗞𝗜 𝗡𝗔 𝗕𝗔𝗝𝗔𝗝𝗜 𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗕𝗘𝗕𝗔 𝗔𝗕𝗜𝗥𝗜𝗔 Mgeni rasmi: Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 📆 Alhamisi - Januari 08, 2026. 🕰️...
1 Reactions
4 Replies
219 Views
Viongozi wa chama cha ACT Wazalendo wanaendelea na ziara zao katika Mikoa ya Kusini ambapo jana Januari 7, 2026 Kiongozi wa Chama, Dorothy Semu, aliwasili katika Jimbo la Mtwara Mjini na kufanya...
5 Reactions
14 Replies
356 Views
Wakuu, Akiwa anazungumza kwenye kipindi cha Medani, Abdullah Makame, kada wa CCM amesema
0 Reactions
2 Replies
134 Views
Siku moja baada ya raia wa Kichina kukamatwa na mabilioni ya fedha huko Oysterbay, jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert ametoa wito kwa wananchi kujenga desturi ya kawaida ya...
4 Reactions
58 Replies
3K Views
Back
Top Bottom