Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

More on the way...... Siandiki sana good news zinakuja..... In a few days....Siku chache tu au masaa machache... Anzeni countdown.... Siandiki sana nitaharibu.... Siri ni namba
20 Reactions
47 Replies
2K Views
Katika hali ya kawaida, unapositisha huduma kwa watu unowahudumia au ambao ndio wanakufanya uwe kazini na upate kipato, busara inaelekeza utoe taarifa kwao tena uombe na radhi na utamke bayana ni...
4 Reactions
24 Replies
31K Views
Kauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana. Mimi wiki kadhaa nyuma...
41 Reactions
173 Replies
14K Views
Ndugu watanzania, najua mnafuatilia kwa karibu kinachoendelea Irani. Waandamanaji wameshakamata maeneo muhimu ya utawala wa kiislamu wa Irani mfano. Vituo vikuu(headquaters) vya polisi, airport na...
4 Reactions
4 Replies
455 Views
Paul Makonda alizama kwenye kashfa nzito ya kufoji cheti na jina. Badala ya kuitwa Albert Bashite akaitwa Paul Makonda ikawa ni kasha nzito sana katika mfumo wetu wa elimu. Nawapa assignment kwa...
25 Reactions
106 Replies
11K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na vyombo vya habari, tarehe 17 Novemba, 2025, Ikulu Chamwino, Dodoma...
2 Reactions
86 Replies
3K Views
Tumerudi kulekule dollar kwa makampuni Tanzania wanabadilisha sasa kwa 2900 wakati serikali imeshukilia 2450 kuna upungufu wa dollar kwa kiasi kikubwa sana. Tanzania ni kama zimbabwe wakati wa...
2 Reactions
8 Replies
360 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kama hujapofushwa na kupofuka Macho yako kwa sababu ya chuki zako binafsi na roho mbaya yako inayoweza ikawa imejengeka kwenye misingi ya Ukabila ,Udini ,ukanda na jinsia...
0 Reactions
33 Replies
700 Views
Narudia Tena hutoboi Jisafishe kwa damu ya October 29 Wafungwa wote wa kisiasa watakutesa Sana. Utekaji utakutesa sana Jioshe warudishwe waliopotea hata Kama Ni mafuvu yao. Mrudie Mungu wako...
2 Reactions
4 Replies
227 Views
Moja kati ya majukumu ya makonda ni kusimamia utafiti na mafunzo kwa wana CCM. Lakini huyu ndugu ana tuhuma ya vyeti feki, je ataweza kujua afanyie utafiti nini? Na mafunzo, mtu mwenye tuhuma ya...
4 Reactions
31 Replies
1K Views
Meya wa Ubungo Mh. Boniface Jacob anakusudia kufungua shauri mahakamani la kumtaka mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kuonesha vyeti vyake ili kuondoa utata uliojitokeza hivi karibuni dhidi ya kiongozi...
35 Reactions
463 Replies
44K Views
Kuna vitu huwa sielewi hapa. Mwaka fulani ilitajwa orodha ya mafisadi wa elimu waliokuwa Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Spika wa Bunge alikuwa Marehemu Mzee Samwel Sita (Mwenyezi...
6 Reactions
130 Replies
20K Views
Najua fika haitafanyika hivyo. Ila si vibaya kutoa ushauri kwa vile yaelekea wenye kazi hiyo aidha wanaogopa, wanaona ni kazi bure au hawamtakii mema rais wetu. Si kwamba hawajui. Hata saa hii...
9 Reactions
17 Replies
523 Views
https://www.tiktok.com/@obbyferooz/video/7592916506229460244?is_from_webapp=1&sender_device=pc
1 Reactions
24 Replies
556 Views
Kufuatia matukio mbalimbali yaliyotokea kabla na baada ya uchaguzi na kuibua hali ya sintofahamu kwa umma na jumuiya za kimataifa, Serikali kupitia Rais Samia Suluhu Hassan iliunda Tume kwa ajili...
0 Reactions
1 Replies
259 Views
Kada maarufu wa CCM leo amefurahia kwa bashasha zote. Amempigia simu Paul Makonda na kumpongeza kwa kupata uteuzi wa heshima. Mbali na hilo amefurahia CCM kupata mchapa kazi na jembe.
13 Reactions
57 Replies
7K Views
Kuwa advocate wa haki na kuwa na soft tone with the mass kua mkali na mapolisi na utendaji wao wa kazi usiozingatia PGO imemponza. Alionesha kuwa na mrengo wa kulia wa sympathy with people...
1 Reactions
6 Replies
395 Views
1.Tekeleza miradi ya maendeleo kwa zaidi ya asilimia 90 ambayo uliahidi katika ilani ya CCM 2. Fanya restructuring katika vyombo vya ulinzi na usalama hass polisi .nimeona umemuondoa waziri wa...
2 Reactions
12 Replies
308 Views
Mwenyekiti wa baraza la vijana CHADEMA(BAVICHA) Patrobasi Katambi inadaiwa anashikiliwa na polisi, bado tunafatilia sababu za kukamatwa kwake na viongozi wengine, lakini kwa tip iliyopo ni kwamba...
1 Reactions
165 Replies
23K Views
Back
Top Bottom