Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amesema Watanzania watapata Katiba mpya ndani ya miaka mitano
"Katika Ilani ya CCM ndani ya miaka hii mitano ya awamu ya sita Watanzania watapata katiba Mpya...
Je,
Ni kwasababu tu ya umakini na umadhubuti wa serikali sikivu ya CCM chini ya Dr.Samia Suluhu Hassan, kugusa kila hitaji na kipaumbele cha wananchi na waTanzania wote, hasa inapotekelezwa ilani...
Napenda kuishauri Serikali kuwa inaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa foleni sugu jijini Dar es Salaam na kuboresha upangaji wa makazi kwa kuchukua hatua ya kimkakati ya kuhamisha viwanda vikubwa...
Watu walifilisiwa mali zao pasipo hata sababu za msingi.
Watu wengi hawa mkupelekwa mahakamani waliporwa mali zao kwa kisingizio cha uhujumu uchumi.
Sheria hazikufuatwa.
Amri za Sokoine...
Mbung Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Sheila Edward Lukuba wakati akichangia hoja Bungeni leo Aprili 14, 2026, amemsomea Rais Samia kifungu cha Biblia kumtia nguvu asiogope kuendelea kufanya kazi...
Nimefuatilia Chambuzi nyingi hapa Tanzania, zinaegemea Iran na kuilaumu marekani kwa kitendo chake cha kuivamia Iran kuwa ni uchokozi pamoja na ubabe! Swali lenu wachambuzi
1: Mbona hamuongelei...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema Tanzania imewasilisha ombi UNESCO la kutambua Kiswahili kwenye mitandao ya kijamii ili vijana wanaotengeneza maudhui kwa lugha...
Wakuu
Mbowe kaamua naye, kamteua Boni Yai
Freeman Mbowe mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA amemteua Mjumbe na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai...
Hawa ma rc na ma DC, Nyerere aliamua kuwarithi kutoka katika mifumo ya kikoloni.
Hawa wananguvu kuliko mbunge, hawa ni ma puppet wa raisi hawana kazi nyingine.
Godbless Lema kutoka X:
Baba Askofu, Bwana Yesu asifiwe.
Nimekuwa nikiona mijadala mingi katika mitandao ya kijamii kuhusu madai ya kuhusishwa kwa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania na...
Rais Samia ametangaza hatua mpya ya kubana matumizi ya mafuta ndani ya serikali, akieleza kuwa matumizi hayo yamekuwa makubwa kutokana na wingi wa magari na safari za kikazi.
Akizungumza wakati...
Wakuu,
Upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili watu 13, wakihusishwa na uharibifu wa noti zenye thamani ya Sh4.6 bilioni, bado unaendelea.
Kesi hiyo, ambayo imekuwa ikifuatiliwa kwa...
Wakati Vikao vya Bunge vikiendelea jijini Dodoma Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya Suma Ikenda Fyandomo, akieleza changamoto ya barabara katika Mkoa wa Mbeya, ameeleza namna ambavyo Mbeya...
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama...
Mawasiliano katika Barabara Kuu ya Tanga–Arusha yamekatika Wilayani Korogwe kufuatia mvua kubwa iliyonyesha kwa saa tisa mfululizo na kusababisha Mto Mbeza kufurika hali iliyozuia kabisa...
Akichangia hoja Bungeni Dodoma leo Aprili 14, 2026, Mbunge Zuwena Bushiri amesema kuwa:
"vijana wetu wametafutiwa kila njia ya kujikwamua kiuchumi. Ukiingia katika mikopo ya Halmashauri kumi...
Hivi sasa uendeshaji wa dunia umebadilika. UNO ipo lkn kama mpitishaji wa ajenda za USA
ICC ipo lkn haiwezi kuikosoa Isreal.
Vipo vyombo vya habari vikubwa kama bbc , CNN lkn vyote hivyo huvisikii...
Yuko wapi huyu mzee?
Kabla ya kujiunga na ccm alikuwa member mzuri wa jf.
Hivi sasa yuko wapi?
Nakumbuka sana anavyopambana wakati Rais akiwa sio miongoni mwa yeye
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.