Gentleman,Mbona hawapigi kelele ktk mitandao kuhusu haki ya iran ?
Kwamba wasitetee vya kwao wakimbilie vya mashariki ya mbali huko ?Mbona hawapigi kelele ktk mitandao kuhusu haki ya iran ?
Kelele za kudai haki za waIran zinapigwa na wairan maana hata wao wako mitandaoni. Ama unadhani watanzania tu ndio wana access na mitandao hivyo huwasikii? Ama unataka usikie na I akidai hizo haki za hao wairan ndio ujue zinadaiwa?Mbona hawapigi kelele ktk mitandao kuhusu haki ya iran ?
Iran hii inayofadhili magenge ya kigaidi duniani? Wacha wachapike tu. Unahangaika na watu wasiokuhusu hao jirani zake wa Kiarabu wala hawana muda naye wewe mkojani ndiyo unakomaza fuvu kuwatetea, ukapimwe akili wewe si bure.Mbona hawapigi kelele ktk mitandao kuhusu haki ya iran ?
Mbona Wairan wanapiga kelele wenyewe dhidi ya watawala katili na wauaji?Mbona hawapigi kelele ktk mitandao kuhusu haki ya iran ?