Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Vyombo vya dola , naomba jifunze kutoka Iran, Mwanzo maandamano yalikuwa ya amani , wakaachwa wiki nzima yakiwa salama, Nilianza kulalamika kuwa Iran wanaanza kuwa wazembe , Baadae maandamano...
3 Reactions
39 Replies
794 Views
Haya ni maoni ya Askofu Benson Bagonza wa KKKT Dayosisi ya Karagwe kuhusu Matukio kadhaa ya uvunjifu wa Haki za Binadamu wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Adai Uhuru wa Demokrasia...
2 Reactions
3 Replies
317 Views
Kada maarufu wa Chama Cha Mapinduzi visiwani Zanzibar, Balozi Ali Karume amesema amesema chaguzi zinazofanyika visiwani humo haziendani na misingi ya chaguzi zinazotegemewa kufanyika na kuonya...
4 Reactions
3 Replies
309 Views
Pengine tumekuwa tukishindwa kuelewa historia kamili ya mapinduzi ya zanzibar ya January,12 1963. Wengi tulidhani mapinduzi yaliongozwa na Hayati Abeid Amani Karume. Namsikia mjane wa Marehemu...
2 Reactions
62 Replies
14K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia anataka kuwafanya na kuwawezesha watanzania wote Waishi Maisha mazuri na ya heshima na staha Utafikiri wapo Washington au New York City Marekani ,au Amsterdam...
1 Reactions
12 Replies
518 Views
GT Huyo dada na genge lake naona bado hawajatosheka na uhuni wao. Cha kusikitisha media kama ITV inashadadia upumbavu kama huu. Kwa nini nasema hajapigwa. 1. Kwa kawaida kama sehemu ya jicho...
25 Reactions
95 Replies
2K Views
Kweli Rais Samia hana washauri.. Katambi hana uwezo wa kuongoza wizara kama hii ambayo Igp na watumishi wa wizara hii wanatakiwa kulipoti kwake. Mbaya zaidi mpaka sasa nchi hii haijatulia...
9 Reactions
18 Replies
608 Views
That is called natural law. Ni uwezo wa binadamu kufahamu kuwa kipi ni sahihi na kipi kibaya. Mpaka sasa Watanzania wameshatambua kuwa rais Samia hawafai. Maana hakuna anachowasaida zaidi ya...
7 Reactions
7 Replies
320 Views
Friends and our Enemies Katika muendelezo wa kumshukuru Allah muumba wa mbingu,ardhi na vyote vilivyomo naendelea kuipongeza serikali inayoongozwa na Dr Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea...
6 Reactions
78 Replies
1K Views
Mwanamtandao Clemence Mwandambo ameweka bayana kuwa anampenda rais Samia na kazi zake zote, na hakubaliani na wanaosema kuwa 'Samia Must Go', amehoji kuwa sasa ndo amekwishaondoka, je hapo kwenye...
4 Reactions
22 Replies
472 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, leo tarehe 09 Januari, 2026 amesema...
5 Reactions
111 Replies
5K Views
Mimi ni mzalendo sijiiti mwanaharakati ninaumia na mambo yaliyopo maana yake unakuta katika nchi ya Tanzania walioajiriwa serikalini wanajikuta mabosi wa wananchi" Hayo ameyasema Clemence...
2 Reactions
0 Replies
139 Views
“Kama CHADEMA isingefungiwa kufanya shughuli zake za kisiasa, huenda matukio ya tarehe 29 yasingetokea,” ilielezwa katika mjadala wa One Against One kati ya mtangazaji nguli Chief Odemba na Wakili...
6 Reactions
36 Replies
742 Views
Najiuliza kwanini hii tuzo adhimu haijatangazwa na media za ndani? Be it tabloids au tv stations naomba kujua au wameogopa?
5 Reactions
10 Replies
304 Views
Watu wa ndani wanasema waziri aliandika barua ya kujiuzulu baada ya kiburi cha maafisa wa Polisi na maovu mengi aliyokutana nayo. Kama Polepole, Mama Samia kabadilisha na kujifanya kumtengua kwa...
48 Reactions
94 Replies
4K Views
Huyu mkulungwa ukiangalia hulka zake, sio mtu wa kutaka madaraka kwa nguvu, na sio mtu wa kubeza raia. Na ni wazi na dhairi kuwa CCM bado kuna watu wanataka mabadiliko. Mchizi ni kama ana...
15 Reactions
45 Replies
1K Views
Hii Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu dhidi ya binadamu(ICC), mbona inachukua muda mrefu sana hata kutoa taarifa ya wapi wamefikia au ni kinaendelea? Jamani tufanyieni wepesi basi kabla machungu...
17 Reactions
35 Replies
873 Views
Habari wana Jf, Naomba kufahamu ni kwanino Wanzibar wanayaita mapinduzi ya kumng'oa Mkoloni wa kiarabu ni Matukufu? Au kwa lugha nyingine "yaliyotukuka"?? Ni nini hasa kinachopelekea yaitwe...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanabodi, leo kuna msomi mmoja Bw. Kidawi Limbu, amethibitisha pasi shaka kuwa uchaguzi wa Zanzibar wa 2015, kama usinge futwa, Maalim Seif Shariff Hamad, wa Chama cha Wananchi CUF ndie angelikuwa...
18 Reactions
140 Replies
34K Views
Wanabodi, Kwanza tazama na kusikiliza mahojiano haya kwa kituo!. Utangulizi: Somo la Historia ni somo la mambo ya kale kwa lengo la kujua yaliyotokea nyuma, kulinganisha na yanayotokea sasa, ili...
15 Reactions
101 Replies
17K Views
Back
Top Bottom