Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Je ametokea Upande gani wa Tanzania? Ukipata Majibu utaelewa msingi wa Hukumu yake. Lakini Je atafanikiwa?
7 Reactions
50 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa CCM ndugu Samia, Amenukuliwa akimweleza Jaji Mkuu kwamba Jaji yeyote akitiliwa shaka kwenye utendaji wake basi achunguzwe Swali letu ni Hili, mbona Jaji Hamidu Mwanga aliyeonekana...
8 Reactions
14 Replies
457 Views
Taarifa kutoka Chadema zinaeleza kwamba, Kutakuwa na uzinduzi wa mikutano ya hadhara kwa Nchi nzima , na kwa kuanzia jambo hilo litafanyika Kanda ya Nyasa kuanzia tarehe 23/03/2025. Tunashukuru...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Kampuni iliyoniajiri inaelekea kufa kwa kukosa uongozi bora, hakuna namna ya kuwawajibisha mabosi sababu ndio wanaomiliki Mifumo ya uwajibishaji Nafanya kazi kwenye kampuni moja ambayo ina miaka...
0 Reactions
2 Replies
199 Views
Akiongea kwenye mkutano na waandishi wa habari leo baada ya kuondolewa zuio la kutofanya siasa, Aprili 15, 2026 amesema kuwa Bila Teknolojia tusingesikika kokote kule, tunashukuru Teknolojia...
0 Reactions
0 Replies
211 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA - Bara, John Heche amesema kuwa kuwa pamoja na mahakama kuwa na mapungufu kadhaa ila wanaishukuru kwa uamuzi wa kurejesha shughuli za chama chao Pia soma News Alert...
1 Reactions
0 Replies
177 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza...
1 Reactions
82 Replies
2K Views
Akichangia hoja leo Bungeni Aprili 15, 2026, Mbunge wa Jimbo la Geita Vijiji i, Joseph Musukuma ameitaka serikali kuangalia namna nzuri ya mikakati ya fedha ya miradi ya Majengo ya Stendi ambayo...
0 Reactions
3 Replies
177 Views
Mapya ya Lissu gerezani, Serikali yaweka kigingi Source. Gazeti la mwananchi mtandao Nimeshindwa kuipata story kamili baada ya website ya mwananchi kuweka tozo kwa kila anaetaka habari zake...
0 Reactions
4 Replies
246 Views
Habari wanajf Japo sipendezwi na aina ya uongozi wa mama kwa baadhi ya Mambo na namna CCM inavyorun nchi lakini Nina Imani sio wote CCM ni wabaya wapo ambao wanaweza kufanya mabadiliko na wengine...
3 Reactions
49 Replies
672 Views
Tunakwenda almost miezi 2. Ukija mbele ya watu/ camera unaonesha kukelwa na ucheleweshwaji wa kesi. Mara Mahakama siyo mahali pa kupaki kesi! Kesi ya Lisu iko Court of Appeal, ndani ya Himaya...
13 Reactions
21 Replies
644 Views
Serikali imewasisitiza waajiri nchini pamoja na wenza katika ngazi ya familia kuwatambua na kuwapa usaidizi wanawake wanaopitia kipindi cha ukomo wa hedhi, ili kuwawezesha kuhimili mabadiliko ya...
0 Reactions
2 Replies
161 Views
  • Redirect
Kutoka X: Oyooooooooo Shida ni polisi sasa hapo "Interejinsia Polisi wataanza visa kuwa kwa inteligensia ya polisi chadema watafanya fujo. Tujiandae kwa hilo
2 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
BREAKING NEWS CHADEMA FREE TO CONTINUE POLITICAL ACTIVITIES - COURT RULES‼️ The Court of Appeal in Dodoma has ruled that the only real opposition party @ChademaTZ2 that was illegally banned from...
0 Reactions
– Replies
– Views
Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini, Joseph Musukuma wakati akichangia hoja leo Aprili 15, 2026 Bungeni, ameitaka serikali kuzingatia ukusanyaji wa madeni wa mikopo ya asilimia 10% kwenye...
0 Reactions
2 Replies
189 Views
Naibu Waziri wa TAMISEMI, Festo Dugange amefafanua kuwa hakuna utaratibu wa elimu bila malipo isipokuwa Serikali inatoa elimu bila ada
1 Reactions
1 Replies
105 Views
Bunge linaendelea na hakuna anayejali kupanda kwa bei ya vyakula na bidhaa. Salaam! Hali ya uchumi inaelekea pabaya sana. Kama kuna mbunge anasoma huu ujumbe wangu afanyr jambo. Huku mtaani kila...
1 Reactions
10 Replies
223 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya Suma Ikenda Fyandomo, wakati akichangia hoja Bungeni Aprili 14, 2026 alisema watanzania wanajiuliza ilikuaje Rais Samia alipata ushindi wa asilimia 98% akieleza...
2 Reactions
17 Replies
421 Views
Wakati unashiriki Kuteka na kuua Mdude Nyagali aliyepewa Ubunge na UWaziri ni Juma Homera, wewe bado unahangaika na doria. Taarifa tulizopata ni kwamba umeamua kumtumia Mzee Mwandambo ili upande...
5 Reactions
25 Replies
643 Views
Tulionya kuhusu mfuko wa Road fund ambao ulianzishwa na Magufuli kwa ajili ya barabara na kulipa Wakandarasi kwa wakati pesa zilikusanywa na kutunzwa kwenye huo mfuko wa road fund...
19 Reactions
46 Replies
1K Views
Back
Top Bottom