Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema Tanzania imewasilisha ombi UNESCO la kutambua Kiswahili kwenye mitandao ya kijamii ili vijana wanaotengeneza maudhui kwa lugha ya Kiswahili walipwe vizuri.
"Kupitia Balozi wetu wa Tanzania aliyeko Ufaransa, tumeshawasilisha maombi yetu rasmi UNESCO ili watusaidie kwenye mazungumzo na kampuni ya Meta pamoja na kampuni ya Google, ili Kiswahili kitambuliwe na vijana wetu wanaotengeneza maudhui kwa lugha ya Kiswahili waanze kulipwa kupitia followers na watu wanaotazama maudhui yao" -Amesema Paul Makonda, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo