Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko makubwa ya kimkakati katika safu ya washauri wake, akiwateua aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, na...
14 Reactions
86 Replies
3K Views
Mwanamitandao Clemence Mwandambo amesema amekuwa akitumia video anazochapisha mtandaoni katika kuwashauri wanasiasa na kuwasilisha mawazo yake, lakini mara nyingine wanasiasa wamekuwa hawataki...
8 Reactions
30 Replies
924 Views
..Othman Masoud anamuona Hussein Mwinyi kama mateka asiyeweza kuitetea Zanzibar, hadhi, maslahi, na haki zake. ..Hussein Mwinyi anamuona Othman Masoud kama mchochezi asiyetaka Wazanzibar wawe...
12 Reactions
225 Replies
18K Views
KABENDERA ANADAI BEN SANANE ALIUAWA NA 'BWANA MKUBWA'! Mwishoni mwa mwaka 2020, nilipata ujumbe mzito kutoka kwa Rais Magufuli kupitia kwa mtu wake mmoja ambaye jina lake linatunzwa. Rais...
81 Reactions
456 Replies
27K Views
Tuna utawala duni na wa ajabu nyakati hizi kuliko wakati wowote. Watawala wamenyimwa hekima, ufahamu na maono, kwani wanajitengenezea kaburi lao wenyewe. Wajinga wanaamini kuwa kulishambulia...
11 Reactions
29 Replies
763 Views
Kuna baadhi yetu waTanzania wanaoamini kwamba kuna watu, nchi au makundi toka nje ya nchi hii watakaokuja kutuondolea shida ya utawala wa maguvu unaotukabili sasa hivi. Watu wanasubiri ICC au...
7 Reactions
22 Replies
511 Views
Erick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani. Ikitokea Ben au...
26 Reactions
149 Replies
8K Views
Yes habari za masiku ndugu zangu na poleni nyote Kwa kadhia tuliyoipata kwa kusimamishwa Kwa muda Kwa platform yetu pendwa ila hope now tupo sawa. Happy new year pia nawatakiwa kila lakheri katika...
0 Reactions
2 Replies
185 Views
Ukiondoa mzee wa kujikomba kutafuta uteuzi, ni kama machawa wa humu jf wametokomea au kufilia mbali. Machawa mabingwa wa kujikomba, kupongeza, na kushambulia watu mko wapi?
5 Reactions
21 Replies
392 Views
Mkutano wa Chama cha Wanasheria wa Afrika Mashariki (EALS),uliokuwa umepangwa kufanyika Zanzibar ,Tanzania kama sehemu ya tamasha la kuadhimisha miaka 30 ya EALS umehamishwa kutoka zanzibar hadi...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Deusdedith Soka amepotea kimzaha mzaha. Miaka ya nyuma alitoweka Ben Saanane kama utani mpaka leo hatujawahi kumuona tena. Je ndio washamalizana na Soka? Pia soma Soka yupo wapi? Tuambieni kama...
17 Reactions
140 Replies
7K Views
  • Featured
Leo tunakwenda almost mwezi wa saba, kijana Deusdedith Soka ma wenzie wamepotezwa. Umma ulipiga kelele mwanzoni, leo umekaa kimya. Chama chake nacho kimejikalia kimya, hakihangaiki tena na kijana...
11 Reactions
41 Replies
2K Views
Abdalah Kassim Hanga alikubalika sana kwenye siasa za Zanzibar. Alikuwa na akili nyingi na alikiwa msomi kuliko Abeid Karume. Hivyo watu wa Zanzibar walimkubali sana. Na alionekana anafaa kuwa...
3 Reactions
4 Replies
244 Views
Hulka za viburi na ujeuri za viongozi wakuu wa chadema, mathalan Lisu na heche, vinalandana na kushabihiana kabisaa na ukaidi usio na faida wa viongozi kama vile Zelensky na Hayatollah Khemenei...
5 Reactions
92 Replies
2K Views
Wewe endelea kuvishwa Fulana na kofia za SSH, huku ukipewa Fanta take away na ubwabwa uliochacha Jamani hata kama Wanaccm ni Wajinga ndio iwe hivi kweli? Kwamba hakuna Wanaccm wengine na ni...
26 Reactions
82 Replies
5K Views
Wakatoliki na VIJORA wapi na wapi?! Yaani hakuna hata shati moja la UWAKA wala kitenge cha WAWATA?! Sasa ngoja WAKATOLIKI wenyewe watoke wakiongozwa na MAPADRI na MAASKOFU kama walivyoandamana...
11 Reactions
13 Replies
559 Views
𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗨 𝗔𝗢𝗡𝗚𝗢𝗭𝗔 𝗠𝗞𝗨𝗧𝗔𝗡𝗢 𝗞𝗔𝗭𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗪𝗔𝗭𝗜𝗥𝗜. WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameongoza mkutano kazi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu na Viongozi Waandamizi wa Serikali uliofanyika, Januari 12...
0 Reactions
6 Replies
253 Views
Mwanamitandao Maarufu Clemence Mwandambo (Baba Yenu Mwandambo) amesema kwa sasa yeye ni kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) lakini ndani yake ana roho ya upinzani Ameeleza kuwa yeye ni mzalendo...
2 Reactions
16 Replies
385 Views
Anandika John Heche kuwa; "Chuo kikuu cha Dar es Salaam kwasasa kimegeuka kuwa kama shule ya msingi. Wakati UDASA wana kongamano lao leo, Dupsa walinialika pia kwa kongamano. Ajabu ni kwamba...
2 Reactions
25 Replies
767 Views
Magufuli ndiye alianzisha dhuluma ya utekaji, upotezaji, uuaji wa watu wanaompinga. By comparison, afadhali ya Uovu wa magufuli kuliko wa sasa
6 Reactions
26 Replies
470 Views
Back
Top Bottom