Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,122
- 7,178
Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amesema Watanzania watapata Katiba mpya ndani ya miaka mitano
"Katika Ilani ya CCM ndani ya miaka hii mitano ya awamu ya sita Watanzania watapata katiba Mpya na ukimwangalia anavyozungumzia suala la Katiba Mpya Rais Samia amemaanisha ndio maana katika Ilani ya CCM tumeiweka" Bulaya