Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,359
- 18,643
Wakati Vikao vya Bunge vikiendelea jijini Dodoma Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya Suma Ikenda Fyandomo, akieleza changamoto ya barabara katika Mkoa wa Mbeya, ameeleza namna ambavyo Mbeya wanamuombea Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, hata misibani wakati wa sala hawaachi kumtaja Rais pamoja na Serikali yake yote.