Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu Watanzania, Amini Nawaambieni ya kuwa uongozi unatoka kwa Mungu. Uongozi ni Kibali kutoka kwa Mungu . Kuwa Kiongozi Kama nafasi ya Urais ni Lazima upewe kibali na Mungu ,ni lazima...
1 Reactions
7 Replies
536 Views
Dkt. Ayub Rioba Chacha aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Shirika La Utangazaji Tanzania (TBC) anasema kwa namna ambavyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa namna ambavyo...
1 Reactions
15 Replies
476 Views
  • Redirect
Picha inajieleza hapo chini! Demokrasia? Linatoka rohoni? Unatafuta uteuzi? Miaka 10 TBC bado hujaiba vya kukutosha?
1 Reactions
– Replies
– Views
Jana tarehe 14.04.2026 Majira ya Saa 07:00 Mchana Mwandishi wa habari wa kujitegemea Mkoani Mwanza Ndugu Daniel John maarufu kama (Bujepa) amejikuta matatani baada ya kufatilia kesi iliyokuwa...
2 Reactions
1 Replies
199 Views
Nafasi ya kumshauri Rais, ni nafasi adhimu inayobeba dhima kubwa kwa Taifa. Wananchi wanayo matarajio kuwa wenzao waliopata fursa ya kuwa washauri wa Rais wao, wanafanya hivyo kwa weledi...
15 Reactions
50 Replies
1K Views
Wanabodi, Kuna vitu fulani fulani vinchi masikini vinalazimishwa kufuata sera fulani fulani wanalazimishwa kuzifuata na nchi mabeberu. Sasa vinchi hivi vinapowekewa masherti na mabeberu...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Hivi inakuwaje kwa msomi kushindwa kutumia utajiri wa mtu kama fursa ya kuandaa matajiri kwenye familia yako? mtu anazeeka lakini ukiangalia anachomiliki ni watoto, gari na simu yakutukania...
0 Reactions
1 Replies
119 Views
Ofisi za gazeti la Pambazuko zilizopo Kijitonyama jijini Dar es Salaam, zimevunjwa na watu wasiojulikana na kuibiwa kompyuta mpakato, kamera na nyaraka mbalimbali. Akizungumzia tukio hilo leo...
7 Reactions
31 Replies
829 Views
Wahalifu waliovaa suti na tai, na wametajwa na CAG kwamba ni WEZI, wanafikiria kujenga magereza ili wasio na hatia wakaishi gerezani. Hii inasikitisha sana. Kuna dhana magereza yanajengwa kwa...
1 Reactions
0 Replies
217 Views
Kwa Damu zisizo na hatia mlizomwaga hata mfanye nini hiyo laana haitafutika na mtaendelea kunuka damu kwa sababu ya viburi vyenu. Hamtaki kuwajibika na kuacha...
1 Reactions
0 Replies
98 Views
Fikiria mbunge anasimama bungeni na kuanza kutamka nonsense kama hizi Na watu wanapiga makofi na kushangilia Hv kweli kama taifa tutayafikia Maendeleo kwa ujinga wa namna hii?
6 Reactions
29 Replies
588 Views
Habari za Sabato! Nimemsikia Rostam kwa umakini, amejieleza vizuri sana na yapo mambo kupitia Press yake yameniongezea kitu hasa katika utafutaji na biashara. Kuhusu tuhuma zake, zote...
17 Reactions
122 Replies
6K Views
Wakati nchi za Ulaya Magereza yanakosa wafungwa huku sisi tunajikita zaidi tuongeze magereza zaidi kuliko kupunguza uhalifu hii maana yake nini ? Tutegemee kesi za kusingiziwa na kubambikwa...
2 Reactions
5 Replies
171 Views
Wananchi wawajibike kulipa kodi na nyie serikali mkikusanya fanyeni hizo pesa zirudi kwa wananchi kwa Kujenga barabara na kuboresha uduma za msingi...
0 Reactions
0 Replies
93 Views
Mbunge wa Jimbo la Mbogwe Fagason Aron Nkingwa akichangia Bungeni Aprili 13, 2026, hoja ya Makadirio ya mapato na matumizi Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 "Tunao vijana wa Jenzi...
3 Reactions
5 Replies
285 Views
Japo tuliwahi kuwa na baadhi ya marais wa hovyo kama Jakaya Kikwete, huyu wa sasa sina la kusema. Sijui kama anajua anachofanya kiumbe huyu. Mungu atusaidie ikiwezekane amkutanishe na Magu japo...
38 Reactions
88 Replies
2K Views
Nimesikiliza na kutazama kwa makini mahojiano kamili kati ta Rostam Aziz na Tido Mhando ambayo yamerushwa hewani kupitia Azam Tv (UTV) kuanzia mida ya saa tatu usiku mpaka mida ya saa nne na...
59 Reactions
147 Replies
10K Views
Julai 26, 2024 Dioniz Kipanya, Mwenezi wa CHADEMA Rukwa, alipigiwa simu akaenda. Hajaonekana tena. Alikuwa amerekodi video na kupost msafara mrefu wa magari ya Rais ziara ya Rukwa na Katavi...
23 Reactions
47 Replies
1K Views
KUMALIZIKA KWA MKATABA WA UNUNUZI WA UMEME KATI YA TANESCO NA KAMPUNI YA UZALISHAJI UMEME KWA NJIA YA GESI ASILIA YA SONGAS ljumaa 01 Novemba, 2024 Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) linapenda...
74 Reactions
112 Replies
8K Views
Huyu kajichanganya, kapita kwenye njia ambazo walipa kodi huwa wanapita huku CCM wakinadi kuwa nchi ina barabara zimejengwa kwa kiwango bora sana huku sehemu kubwa ya nchi ikiwa hoi kama hivyo...
2 Reactions
4 Replies
247 Views
Back
Top Bottom