Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba amesema Tanzania imeingia katika hatua mpya ya uzalishaji wa umeme baada ya kufanikisha mradi mkubwa wa bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere la...
1 Reactions
7 Replies
243 Views
Kufuatia kufunguliwa kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mahakama April 15, 2026, Katibu wa Halmashauri Kuu ya NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Taifa wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema...
0 Reactions
7 Replies
265 Views
Mjadala wa wazi kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 https://www.youtube.com/live/Cu8apPVErt8?si=eMCTRMUE2G_l_bgx
0 Reactions
1 Replies
139 Views
Tuzo hiyo imetolewa leo, Aprili 16, 2026, na Chama cha Wataalamu wa Upasuaji wa Ubongo na Uti wa Mgongo Tanzania (Tanzania Neurosurgical Society) wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kwanza wa...
1 Reactions
18 Replies
312 Views
  • Redirect
TUNDU LISSU AKUTANA NA CHAKWERA GEREZANI Nimetoka Ukonga kumtembelea Tundu Lissu. Tumepata nafasi ya kujadili kwa kina mwenendo wa kesi zote zinazoendelea na zile zilizo pending. Amenieleza pia...
0 Reactions
– Replies
– Views
Ripoti mpya ya Freedom House ya 2025 yaziorodhesha kwa mara ya kwanza Tanzania na Kenya miongoni mwa nchi zinazotuhumiwa kuwakandamiza raia wao nje ya mipaka. Ripoti hiyo yaeleza kuwa serikali...
0 Reactions
3 Replies
166 Views
Katika mahojiano yake na Wasafi FM, John Heche alitoa mtazamo wake kuhusu hali ya kisiasa, kuhama vyama, na msimamo wa Chadema kwa waliohama CHADEMA na kwenda Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)...
5 Reactions
13 Replies
420 Views
Hawa viongozi wa Africa mimi binafsi nikiwatathimini na kuwatafakari utafikiri hawana Elimu na Hekima. Tuanze na hili Mseven kupitia Uganda amegundua mafuta ila mpaka leo plan yake kuyasafirisha...
2 Reactions
5 Replies
176 Views
Kwanza nashangaa, kila baasa ya kesi Mnyika anakusanya watu waliokuwa kwenye kesi hiyohiyo na kuanza kuwahutubia, wakati watu hao waliona na kusikia kila kitu. Kwa nini wasifanyie makusanyiko...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Hamjambo Wore! 1. Kila kiongozi kama walivyo binadamu wengine Wana ubora na udhaifu wake. 2. Ni nadra Sana Kwa viongozi wengi wakubwa kukubali udhaifu mbele za watu. 3. Hata Wazazi nyumbani...
6 Reactions
64 Replies
944 Views
Ni dhahiri sasa, kuwa unaweza kumunywesha sumu mtu lakini hauwezi kabisa kunywesha sumu ukweli aliokuwa anaufundisha. Unaweza kumteka mtu anayewafundisha watu ukweli lakini hawezi kuuteka ukweli...
4 Reactions
22 Replies
463 Views
Diwani wa Kata ya Oldonyo Sambu, Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha kupitia ACT Wazalendo, Kabaney K. Mojah, ametangaza kujivua udiwani na uanachama wa chama hicho kuanzia leo Jumatano, Aprili 15...
0 Reactions
8 Replies
321 Views
Makam Mwenyekiti wa CHadema John Heche wakati akijibu moja ya swali aliloulizwa kupitia kipindi cha Jana na Leo kuhusu kampeni ya Tone Tone hadi sasa CHadema wamekusanya kiasi gani amesema bado...
2 Reactions
2 Replies
214 Views
  • Redirect
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche amesema wao kama CHADEMA wapo tayari kupokea Halima Mdee Heche ameyasema hayo kwenye kipindi cha Jana Na Leo kupitia Wasafi Fm Aprili 15, 2026
0 Reactions
– Replies
– Views
Soma judgement ya CHADEMA hapa =========== At the High Court of Tanzania, the respondents herein instituted a petition against the applicants both jointly and severally for the following...
3 Reactions
7 Replies
301 Views
Hamjambo! Inatosha. Tundu Lisu aachiwe. Tundu Lisu ni asset katika taifa. Atumiwe uzee umegonga mlango. Tumejifunza mengi kupitia Ligi zake na Serikali. Taifa na wananchi tumepata faida kubwa...
8 Reactions
44 Replies
788 Views
Rais Wa Zanzibar, Hussein Mwinyi amesema kuwa Mtu kutoka Tanzania Bara, anaweza kumiliki ardhi Zanzibar kwa utaratibu maalum, akizungumza na TBC kwenye mahojiano amesema wapo Wabara amabo...
0 Reactions
11 Replies
358 Views
Wakuu, Wahenga walinena, "Ngoma ikipigwa sana hupasuka," lakini vipi pale mpigaji anapoamua kuziba masikio yake kwa pamba ili asisikie mwangwi wa ngoma anayoipiga? Hapa ndipo tunapojikuta kama...
8 Reactions
17 Replies
335 Views
Makam Mwenyekiti wa Chadema Taifa John Heche wakati akizungumza katika kipindi cha Jana na Leo kupitia Wasafi FM amesema walimis sana na kuisubiri siku ya leo ambayo imewapa nafasi ya kuendelea...
3 Reactions
15 Replies
387 Views
Wakuu, Sasa hapo waliripoti 'anadaiwa kutoweka...', sasa wangesema afande katwekwa na watu wa Mwigulu si ndo tungesikia jamaa wametekwa! Afu jeshi la polisi linawakamata kivipi wakati ni mambo ya...
7 Reactions
51 Replies
1K Views
Back
Top Bottom