Ni Wakati wa kumtoa sasa Tundu Lisu

Ni Wakati wa kumtoa sasa Tundu Lisu

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
39,992
Reaction score
92,680
Hamjambo!

Inatosha. Tundu Lisu aachiwe. Tundu Lisu ni asset katika taifa. Atumiwe uzee umegonga mlango.

Tumejifunza mengi kupitia Ligi zake na Serikali. Taifa na wananchi tumepata faida kubwa kupitia migogoro baina yake na serikali.

Tundu Lisu atakuwa kielelezo cha vijana kuhusu uzalendo na kupigania kile anachokiamini hata katika mazingira magumu.

Vijana, watumishi wa serikali, maafisa wa vyombo vya dola na wanausalama wamejifunza Kwa Tundu Lisu kupigania taifa, na kuwa na msimamo thabiti hata kwenye hali ngumu?

Wanausalama na watumishi lazima mjiulize, Je unaujasiri na uwezo wa kusimamia msimamo wako hata ukiwa katika shinikizo la kutaka kuuawa kama alivyofanyiwa Lisu? Au upo tayari kufungwa jela na kuhukumiwa kifo kwa kesi nzito kwa kile unachokiamini?

Watanzania tumepata shule.

Viongozi wakuu WA nchi na majeshi wamejifunza pia.
Kwani hata wao baadhi naamini wanakiri kuwa Tundu Lisu ni jasiri na anamsimamo ambao wenyewe hawana.

Muda wa kumuachia Tundu Lisu umefika. Somo tumelipata.

Lakini pia Tundu Lisu pia amejifunza haya ambayo nilimuandikia mwaka 2020 kwenye barua Yangu ya wazi;

1. Nuru ndogo haifukuzi Giza kubwa
Nuru ya kibatari au mshumaa haina uwezo wa kufukuza Giza la eneo kubwa.
Hii ni kumaanisha Wema Mdogo haushindi uovu thabiti.

2. Kutetea Maskini na wajinga wakati usiosahihi ni kujitoa kafara isiyo na thawabu. Kila Jambo lina timing

3. Maisha hayanaga kumbukumbu. Tenda Wema kwa Akili.

4. Hata ukiwa Malaika huwezi mshinda shetani kama shetani amekuzidi nguvu, mbinu na uwezo.

5. Sio Kila ubaya ni Ubaya. Wakati mwingine ubaya unatakiwa ufanyike ili kubust akili za watu waliolala.
Na sio Kila Wema ni Wema.
Wema na Ubaya umuhimu wake upo kwenye wakati.

6. Wakati mwingine shetani hujadili na Mungu au Mungu hujadili na shetani.
Kwenye biblia tumeona hayo mara kadhaa.
Shetani humhitaji Mungu na Mungu kuna wakati humhitaji shetani.

7. Kwenye utawala. Kuna wakati utachagua Power au Love. Na watawala wengi huamua kuchagua Power.

8. Usiwe Mwema kupita kiasi usije ukaangamia. Wala usiwe mbaya kupita kiasi usije ukafa kabla ya wakati wako.

9. Adui mwenye silaha usimjie na mdomo.

Anyway mimi naondoka.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Hivi soon ataachiwa tena hilbmshartibyoyote si umeona leo mahakama humo dodoma imeruhusu chama chao kiendelee na shughuli za kisiasa kama zamani
 
Sawa, wamekusikia
 
Kimsingi Lissu hakutakiwa kuwa ndani hata kwa sekunde 1.

Majizi yanayotakiwa kuwa ndani ndio yanapewa na ulinzi na kuitwa waheshimiwa kumbe ni majizi.

Watekaji na wauaji wanadunda huko mitaani wakiwa na damu za watu wasio na hatia.

Hebu fikiria upotevu wa hizi pesa halafu anakuja mtu kusema adhabu ya majizi ni kuzomewa.
20260410_153600.jpg
 
Kimsingi Lissu hakutakiwa kuwa ndani hata kwa sekunde 1.

Majizi yanayotakiwa kuwa ndani ndio yanapewa na ulinzi na kuitwa waheshimiwa kumbe ni majizi.

Watekaji na wauaji wanadunda huko mitaani wakiwa na damu za watu wasio na hatia.

Hebu fikiria upotevu wa hizi pesa halafu anakuja mtu kusema adhabu ya majizi ni kuzomewa.View attachment 3573304

Hakutakiwa ila ndio yupo ndani na watu tumeshindwa kuonyesha nguvu ya umma.
 
Back
Top Bottom