Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akizungumza Aprili 8, 2026 katika hafla ya uapisho wa viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni, Rais Samia ametoa mchanganuo wa bei za mafuta kwa mataifa ya Ulaya na Marekani, akieleza kwa...
18 Reactions
165 Replies
4K Views
Mjusi unaotoka kwenye Paa kuanguka au kudondoka sakafuni kuna muda wakati ukiwa angani udhani una paa kama ndege Mpaka pale Tumbo likipiga sakafu kukumbusha kwamba we ni Mjusi Mjusi tuliyenaye...
19 Reactions
41 Replies
1K Views
Wakuu, Mmeona tunavyoandaliwa kisaikolojia kuipokea ripoti ya tume ya Chande? Chawa washalipwa kuja kuisema mazuri - 'ripoti ya chande itakuja kuliponya taifa' - we ulikuwepooo? Wameanza na...
7 Reactions
19 Replies
473 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza uwanja wa mpira wa miguu Arusha ufungwe kamera nyingi ili kukomesha vitendo vya ushirikina ndani ya uwanja.
0 Reactions
6 Replies
152 Views
Tanzania kwasababu ni kati ya nchi kubwa kwenye ukanda wa bahari hindi kutoka Kenya mpaka South Africa kwa masikitiko makubwa ndiyo tunarudisha nyuma jitihada za maendeleo kwa kuzuia demokrasia...
0 Reactions
0 Replies
121 Views
Salaam Wakuu, Mnavyomuona Samia Suluhu wa huko Tunguu, ndivyo walivyo Wazanzibari na Waislam walio wengi.l hasa Wanawake. Upendo Samia anaoonesha kwa Watanganyika ndo upendo Wazanzibari hasa...
2 Reactions
35 Replies
604 Views
Siyo siri kwa sasa hivi, kiwango cha uelewa na kufikiri kwa mantiki kwa viongozi wetu kimepungua sana miaka ya karibuni. Sioni kiongozi THINKER, na mwenye uwezo wa kuufikiria umma wa kawaida...
30 Reactions
88 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Filimbi imepulizwa Rasmi kuanza Mchakato wa Kujaza nafasi ya Ubunge katika jimbo la Ismani Iliyoachwa Wazi na Marehemu William Lukuvi Aliyefariki Dunia Wiki Chache...
0 Reactions
17 Replies
281 Views
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi, ametoa onyo kali kwa baadhi ya wananchi na wanasiasa wanaochochea chuki dhidi ya vyombo vya ulinzi na usalama nchini, akitaja...
0 Reactions
19 Replies
536 Views
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Bi. Dorothy Semu, amekabidhiwa uenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kwa kipindi cha mwaka mmoja, akichukua nafasi hiyo kutoka CHADEMA baada ya chama hicho...
0 Reactions
3 Replies
248 Views
Serikali imepokea rasmi hoja ya ajira za muda (part-time) kwa Vijana iliyowasilishwa na Mbunge wa Kisarawe, Dkt, Selemani Jafo, na kuanza mchakato wa kuichakata ili kubaini namna bora ya...
1 Reactions
4 Replies
231 Views
Wafanyabiashara katika Stendi ya Kaloleni, iliyopo Kata ya Mji Mpya, Manispaa ya Morogoro, wamelazimika kufunga baadhi ya Maduka yao wakilalamikia kupungua kwa Wateja, hali inayotokana na daladala...
0 Reactions
1 Replies
137 Views
Kufunga Ziwa Tanganyika sio suala geni kwa nchi zinazomiliki sehemu ya Ziwa ambazo ni Tanzania, DRC, Burundi na Zambia. Huwa ni kuanzia May - August hizi nchi hufunga ziwa. Faida zake kuu ni...
1 Reactions
13 Replies
324 Views
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Facebook, Taji Liundi amechapisha kuhusu muenedno wa hoja za Wabunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kuonekana kulenga kuwashusha hadhi wananchi...
16 Reactions
31 Replies
972 Views
Wiki iliyopita kulikuwa na mkutano wa kukutanisha washika dau wa Benki ya dunia na mfuko wa kimataifa wa fedha. Lakini kupitia hapo Serikali ya Tanzania ilipata wasaa wa kukutana na wawakilishi...
0 Reactions
11 Replies
199 Views
Italifaa vipi taifa letu kuwa na maridhiano na Lissu akawa nje bila kuwa na katiba mpya? Tunapaswq kuwa na katiba ambayo Rais akitumia vobaya madaraka yake kwa manufaa yake,. rafiki zake na ndugu...
0 Reactions
0 Replies
170 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, huo ndio mtazamo wangu na pia ni ushauri wangu kwa chama iwapo Tundu Lissu ataachiwa kutoka gerezani. Tundu Lissu akiwa gerzani shida, akiwa nje shida...
6 Reactions
25 Replies
486 Views
Hivi Sasa inaarifiwa kuwa ile drama ya "shujaa" inaelekea mwishoni na baadhi ya waigizaji wakuu kwenye hiyo drama wameona isiwe "kesi" kwani watazamaji hawapendi hizo series,ni kama vile...
28 Reactions
63 Replies
6K Views
Nchi inahitaji checks & balances kutoka kwa wapinzani makini. Kundi la wanaCHADEMA lilioenda CHAUMMA lilifanya hiyo kazi kwa weledi mkubwa. CHADEMA ya enzi za Mbowe ilikuwa inafanya shughuli za...
2 Reactions
31 Replies
592 Views
Hii ilikua jana , huyu Polisi alizikusanya Bajaji na kuchukua Rushwa ya kati ya 3000 hadi 5000 kwa Bajaji, Takribani Bajaji 6 wakati huo zilikua zimekamatwa hapo
0 Reactions
7 Replies
251 Views
Back
Top Bottom