Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 7,458
- 18,342
Ni dhahiri sasa, kuwa unaweza kumunywesha sumu mtu lakini hauwezi kabisa kunywesha sumu ukweli aliokuwa anaufundisha.
Unaweza kumteka mtu anayewafundisha watu ukweli lakini hawezi kuuteka ukweli uliowaingia mamilioni ya watu.
Kwa Magufuli mlishangilia na kula nyama mkidhani mmeshinda, kiko wapi sasa? Mliruhusu mpaka vitabu vya kumchafua vichapishwe lakini bado watu wanafurika Chato kila mwaka kumlilia.
Humphrey Polepole ametekwa lakini bado video zake zina trend you tube na zitaendelea hadi vizazi na vizazi.
CCM mtandao mjue yajayo yanafurahisha.