Good day Great thinkers!
Kufutia mjadala mpana unaoendelea kuhusu katiba mpya huku kukiibuka mitazamo mbalimbali juu ya kuwezekana au kutokuwezakana kwa upatikanaji wa katiba hiyo, umuhimu wake...
Madikteta au wafalme huwa wana akili moja inayowafanya wawe wazuri sana kwenye uchumi. Wao wakiona kitu fulani kinawaingizia pesa za kutosha, au sehemu fulani inaingiza pesa za kutosha basi akili...
Ndugu zangu Watanzania,
Huruma siyo Malezi,sina huruma na CHADEMA Mimi wala sina nachowaombea kizuri chochote kile. Kila Baya Liwe juu yao . Wapitiage mabaya tu na kukutana na mabaya tu na kila...
anayeweza kusoma kizungu asome asiyeweza sorry.
see attached pdf file
WHY TREASON IS NOW ARBITRARY REGARDED AS A POLITICAL OFFENCE IN EAST AFRICAN
COUNTRIES? LAW AND PRACTICE IN TANZANIA...
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo nikizungumzia hiki kilichotokea Tanzania kwa VP kufutwa uanachama hivyo kupoteza u VP, ni uthibitisho wa udhaifu mkubwa wa katiba...
Wanaume wamezidi ubabe, hawakubali kujishusha kwa maslahi ya wote, tabia ambayo inailetea hasara dunia yote.
Wanaume hawaamini kama unaweza kumkosoa, kumuelekeza, kumfukuza au kumuagiza mtu bila...
Habari ya taifa letu kuwa na mikataba mibovu kama ya Dp world itatoweka.
Wizi wa kura na chaguzi huru zitafanyika.
Viongiozi makini na watawala wenye akili watapatikana.
Dhuluma ,utekaji na...
Nimependa andiko la Martin Maranja Masese:
Dear, RANGO.
Hadi umemaliza muda wako wote wa kuongoza The Inter-Parliamentary Union (IPU) umeshindwa kabisa kuthubutu kukemea mauaji ya raia...
Nchi yetu Tanzania ni miongoni mwa nchi za Afrika zenye rasilimali nyingi na adimu sana
Tanzania bado kuna ardhi kubwa yenye rutuba inayofaa kwa kilimo, kuna mbuga za wanyama, madini mbalimbali...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika usishindane na aliyebarikiwa na Mungu, usishindane na Aliyepakwa Mafuta na Mungu,usishindane na aliyepewa kibali na Mungu.
Kwa hakika Taifa likiongozwa na...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anastahili Pongezi,anastahili heshima na kuheshimiwa, anastahili...
Miaka ya hivi karibuni tumeona makampuni binafsi kama starlink, na amazon wakituma satellite nyingi sana kwenye low orbit
Kabla sijaendelea kuna aina mbili za satellite kama zifuatazo...
Katika mambo mengine ambayo Nyerere alikosea ni kuweka makao makuu ya nchi Dar es Salaam kwa Waswahili baada ya uhuru.
Mambo yote yasiyo na tija yanafanyikia Dar es Salaam, wakazi wa Dar es...
Tumeshaandika mmeshupaza shingo, mmejaa kiburi na dharau, wahadhiri na wafanyakazi hawana mishahara rangia mwezi wa 7 na hakuna dalili ya kulipwa, tunaambiwa VC ametumia pesa kwa mambo.mengine na...
Katika kuongeza mapato nchini na ukizingatia SGR inajaza siku 5 kabla ya safari. Inafaa sasa SGR kwa kushirikiana na TRA waaanzishe Kodi kwa abiria na Wasindikizaji wote angalau 20,000/= kila trip.
Wakili, mwanasheria wa kujitegemea na mchambuzi wa masuala ya kisiasa, Leonard Manyama, amesema kuwa mamlaka makubwa aliyonayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yamechangia kuleta maendeleo...
Kutoka kwenye ukurasa wa Twaha Mwaipaya ametoa madai ya kuwa kuna Mauaji ya mlinzi wa Mgahawa wa Shishi Food yamefanyika Jana usiku ila Mauaji hayo yanafanywa Siri hawataki watu wajue, msifiche...
Jana Kabudi alisema siyo vizuri kuwaita viongozi waliochaguliwa kuwa ni HARAMU bora wawaite sio viongozi HALALI.
JOHN HECHE;
Halali: Jambo au kitu kinachoruhusiwa na sheria, kanuni, au dini...