Uchaguzi 2020 Mzee Shomari: Lissu ulikuja kugombea urais, je hukujua CCM ina intelijensia ya hali ya juu?

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
1,287
2,000
Mzee Shomari anauliza hili swali, sababu mwanasiasa makini lazima ujitafakari,je unaenda kupambana na chama ambacho kina nguvu kiasi gani? Kimejikita kiasi gani katika kujijenga?

Kwanza ungejiuliza swali moja, CCM hii ambayo leo hii kila mtanzania anakubali imedhibiti ufisadi na ubadhirifu, leo hii inawaletea maendeleo watanzania kwa nini imebadilika kwa muda mfupi?

CCM hii ambayo miaka kumi iliyopita kila mtu alikuwa akiichukia kwa vitendo vya kifisadi na kukumbatia vigogo mafisadi mbona imebadilika na kila mwanchi anaikubali?

Tundu Lissu usidharau wazee kama mimi Mzee Shomari,maaana sisi ndio tunajua nchi inakwenda vipi. Sisi ndio tunajua. Sisi ndio tunajua kutoa ushauri nini kifanyike ili mabadiliko yafanyike nchini. Wewe unapata ushauri toka kwa Robert Amsterdam,je anaifahamu Tanzania vizuri?

Tundu Lissu tambua kuwa CCM ina intelijensia ya hali ya juu ndio maana hata baada ya kuona chama kimechafuka, ilibidi Dkt. Magufuli awekwe kama mgombea ili kukisafisha chama cha CCM.

Umekuja kugombea urais,huna hoja za msingi zaidi ya kuzua uongo na tuhuma zisizo na ukweli. Mfano unasema ununuzi wa ndege za Atcl anafahamu Dotto James na JPM,mbona zilijadiliwa bungeni?

Mzee Shomari ni muuza kahawa ila anasema Lissu tambua CCM ni chama chenye intelijensia ya juu ambayo inatumika kwa manufaa ya Tanzania.
 
Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
1,287
2,000
Lissu amempigisha jiwe Magoti
Lissu the great.
Lissu Sera bora uwezo akili mikakati nk.

Mwambie huyo mzee atake asitake Lissu ndie Rais wake.
# NI YEYE 2020
Nimemuuliza kasema huko Njombe ni utamaduni wa kuonyesha unyenyekevu. Kanipa kahawa ya sh 300 bure.
 
infinix

JF-Expert Member
Sep 6, 2018
1,976
2,000
Mzee Shomari maskini wewe endelea kutafuna hayo maharagwe ya ccm ingawa hayajawiva vizuri sababu ya ukosefu wa nishati ya kuyapika.

Lisu anapambana ili kuwakomboa wazee walio kwenye utumwa wa kifikra kama wewe,tuombee kwa Mungu ukombozi unakuja si muda mrefu
 
Kweli hii Chadema inaweza kuleta ukombozi?
 
nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Jan 16, 2020
1,128
2,000
Mzee Shomari anauliza hili swali,sababu mwanasiasa makini lazima ujitafakari,je unaenda kupambana na chama ambacho kina nguvu kiasi gani? Kimejikita kiasi gani katika kujijenga?

Kwanza ungejiuliza swali moja, CCM hii ambayo leo hii kila mtanzania anakubali imedhibiti ufisadi na ubadhirifu, leo hii inawaletea maendeleo watanzania kwa nini imebadilika kwa muda mfupi?

CCM hii ambayo miaka kumi iliyopita kila mtu alikuwa akiichukia kwa vitendo vya kifisadi na kukumbatia vigogo mafisadi mbona imebadilika na kila mwanchi anaikubali?

Tundu Lissu usidharau wazee kama mimi Mzee Shomari,maaana sisi ndio tunajua nchi inakwenda vipi. Sisi ndio tunajua. Sisi ndio tunajua kutoa ushauri nini kifanyike ili mabadiliko yafanyike nchini. Wewe unapata ushauri toka kwa Robert Amsterdam,je anaifahamu Tanzania vizuri?

Tundu Lissu tambua kuwa Ccm ina intelijensia ya hali ya juu ndio maana hata baada ya kuona chama kimechafuka, ilibidi JPM awekwe kama mgombea ili kukisafisha chama cha CCM.

Umekuja kugombea urais,huna hoja za msingi zaidi ya kuzua uongo na tuhuma zisizo na ukweli. Mfano unasema ununuzi wa ndege za Atcl anafahamu Dotto James na JPM,mbona zilijadiliwa bungeni?

Mzee Shomari ni muuza kahawa ila anasema Lissu tambua CCM ni chama chenye intelijensia ya juu ambayo inatumika kwa manufaa ya Tanzania.
Huyo atakuwa msukuma
 
Chenery

New Member
Sep 27, 2020
4
45
Mzee Shomari anauliza hili swali, sababu mwanasiasa makini lazima ujitafakari,je unaenda kupambana na chama ambacho kina nguvu kiasi gani? Kimejikita kiasi gani katika kujijenga?

Kwanza ungejiuliza swali moja, CCM hii ambayo leo hii kila mtanzania anakubali imedhibiti ufisadi na ubadhirifu, leo hii inawaletea maendeleo watanzania kwa nini imebadilika kwa muda mfupi?

CCM hii ambayo miaka kumi iliyopita kila mtu alikuwa akiichukia kwa vitendo vya kifisadi na kukumbatia vigogo mafisadi mbona imebadilika na kila mwanchi anaikubali?

Tundu Lissu usidharau wazee kama mimi Mzee Shomari,maaana sisi ndio tunajua nchi inakwenda vipi. Sisi ndio tunajua. Sisi ndio tunajua kutoa ushauri nini kifanyike ili mabadiliko yafanyike nchini. Wewe unapata ushauri toka kwa Robert Amsterdam,je anaifahamu Tanzania vizuri?

Tundu Lissu tambua kuwa CCM ina intelijensia ya hali ya juu ndio maana hata baada ya kuona chama kimechafuka, ilibidi Dkt. Magufuli awekwe kama mgombea ili kukisafisha chama cha CCM.

Umekuja kugombea urais,huna hoja za msingi zaidi ya kuzua uongo na tuhuma zisizo na ukweli. Mfano unasema ununuzi wa ndege za Atcl anafahamu Dotto James na JPM,mbona zilijadiliwa bungeni?

Mzee Shomari ni muuza kahawa ila anasema Lissu tambua CCM ni chama chenye intelijensia ya juu ambayo inatumika kwa manufaa ya Tanzania.

Mtaruka ruka kama maharagwe yanayopikwa kwenye pressure cooker.
 
Kitombise

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
7,233
2,000
usijali Mzee shomari tumekuja tena leo nyumbani kwako kuomba kura
IMG_20200917_142108.jpg
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
20,323
2,000
We Mzee shomari we uza kahawa yako upate riski ya siku ili wajukuu washindane kwenda toilet... haya mambo ya siasa waache wenyewe!! Huyawezi!!
 
Ciril

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
8,383
2,000
Anajitahidi kuikweza tu CCM ,lakini Muda sio rafiki tena CCM wenzie wana piga Magoti kutoka kutu fokea Wananchi kila wakati Sababu ya Mh Lissu kuwapeleka mwendo wa Dremliner.Ukiyashangaa ya Mzee Shomari utayaona ya Tume na Bodaboda 2020.
 
Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
1,287
2,000
We Mzee shomari we uza kahawa yako upate riski ya siku ili wajukuu washindane kwenda toilet... haya mambo ya siasa waache wenyewe!! Huyawezi!!
Kama hayawezi mbona anashusha nondo za ukweli.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom