Mkuu kura ni siriKutokana na anavyojieleza na kunadi jinsi tutakavyokuwa baada ya uchaguzi nimevutiw kumpigia kura TL. Naombeni ushauri wenu wana CCM wenzangu
Mimi nimetongoza akina dada 5 wa UVCCM wenye kichinjio kwa lengo la kuwabadilisha wampingie TAL. Nimefanikiwa kwa 100%. Sasa hivi whatsaap wananitumia video za mikutano ya Lissu. Uchaguzi ukiisha nawapiga chini. Nataka nifikishe 20 huo ndio mchango wangu kwa Lissu.Kutokana na anavyojieleza na kunadi jinsi tutakavyokuwa baada ya uchaguzi nimevutiw kumpigia kura TL. Naombeni ushauri wenu wana CCM wenzangu
Kiongozi ni mbinu nzuri sana hiyo, ni zaidi hata ya kumchangia Lissu Tzs 100k. Naanza kuwasaka kwenye mikutano ya kampeni ya CCM.Mimi nimetongoza akina dada 5 wa UVCCM wenye kichinjio kwa lengo la kuwabadilisha wampingie TAL. Nimefanikiwa kwa 100%. Sasa hivi whatsaap wananitumia video za mikutano ya Lissu. Uchaguzi ukiisha nawapiga chini. Nataka nifikishe 20 huo ndio mchanga wangu kwa Lissu.
Hiyo mbinu sio mchezoMimi nimetongoza akina dada 5 wa UVCCM wenye kichinjio kwa lengo la kuwabadilisha wampingie TAL. Nimefanikiwa kwa 100%. Sasa hivi whatsaap wananitumia video za mikutano ya Lissu. Uchaguzi ukiisha nawapiga chini. Nataka nifikishe 20 huo ndio mchanga wangu kwa Lissu.
CCM sio baba yako Wala Mama yakoKutokana na anavyojieleza na kunadi jinsi tutakavyokuwa baada ya uchaguzi nimevutiw kumpigia kura TL. Naombeni ushauri wenu wana CCM wenzangu
Huna haja ya kuwaza sana. Unataka maisha mazuri yenye furaha na raha dondosha kura yako kwa Lissu.Kutokana na anavyojieleza na kunadi jinsi tutakavyokuwa baada ya uchaguzi nimevutiw kumpigia kura TL. Naombeni ushauri wenu wana CCM wenzangu
Mzee umechukua hatua kama yangu nineshakula vichwa kama kumi hivi ndani ya mwezi huu wa tisa.Mimi nimetongoza akina dada 5 wa UVCCM wenye kichinjio kwa lengo la kuwabadilisha wampingie TAL. Nimefanikiwa kwa 100%. Sasa hivi whatsaap wananitumia video za mikutano ya Lissu. Uchaguzi ukiisha nawapiga chini. Nataka nifikishe 20 huo ndio mchanga wangu kwa Lissu.
Kali sana na inaleta matokeo 100%Hiyo mbinu sio mchezo
Lete wengi zaidi.....kwanza wananjaa kichizi yaaniKiongozi ni mbinu nzuri sana hiyo, ni zaidi hata ya kumchangia Lissu Tzs 100k. Naanza kuwasaka kwenye mikutano ya kampeni ya CCM.
Utakuwa ujapoteza kura yako. Utafurahi pmj na kizazi chako, kwani utakuwa umewekeza kwa ajili ya familia yako na watukuuKutokana na anavyojieleza na kunadi jinsi tutakavyokuwa baada ya uchaguzi nimevutiw kumpigia kura TL. Naombeni ushauri wenu wana CCM wenzangu
Tundu Lissu ni mlaghai wa kisiasa,Kutokana na anavyojieleza na kunadi jinsi tutakavyokuwa baada ya uchaguzi nimevutiw kumpigia kura TL. Naombeni ushauri wenu wana CCM wenzangu
Vitu 2 nitakushauri Jane kama kaka yako au pengine baba yako mdogo au pengine baba yako (kutegemea na umri wangu)
1. Never ever kumcheka au kumdhikahi kilema. Hii iwe mwanzo na mwisho! Usiinue mdomo wako tena kumdhihaki kilema. Mbaya zaidi huyo unaemdhihaki hakuzaliwa na mapungufu ila kuna watu wabaya wamemsababishia hali hiyo tena ikiwa ni nje ya uwezo wake kujilinda.
2. usichukulie siasa kitu chepesi. Unaweza kuona umeshika dola, unaungwa mkono na tume ya uchaguzi na pengine ukahisi wananchi walio wengi watakuchagua. Usiseme ndani ya moyo wako na nje ya moyo wako kuwa 'fulani hatakaa ashike dola milele'. Jiepushe sana na huu usemi. Siasa huwa zinabadilika sana
Fanya hivyo mkuu! mimi hapa home nimewashawishi watu watatu na wamenielewa.Kutokana na anavyojieleza na kunadi jinsi tutakavyokuwa baada ya uchaguzi nimevutiw kumpigia kura TL. Naombeni ushauri wenu wana CCM wenzangu
Hujafa hujaumbika.Vitu 2 nitakushauri Jane kama kaka yako au pengine baba yako mdogo au pengine baba yako (kutegemea na umri wangu)
1. Never ever kumcheka au kumdhikahi kilema. Hii iwe mwanzo na mwisho! Usiinue mdomo wako tena kumdhihaki kilema. Mbaya zaidi huyo unaemdhihaki hakuzaliwa na mapungufu ila kuna watu wabaya wamemsababishia hali hiyo tena ikiwa ni nje ya uwezo wake kujilinda.
2. usichukulie siasa kitu chepesi. Unaweza kuona umeshika dola, unaungwa mkono na tume ya uchaguzi na pengine ukahisi wananchi walio wengi watakuchagua. Usiseme ndani ya moyo wako na nje ya moyo wako kuwa 'fulani hatakaa ashike dola milele'. Jiepushe sana na huu usemi. Siasa huwa zinabadilika sana
Msamehe bure ni kijana huyo HAJUI alitendalo.Vitu 2 nitakushauri Jane kama kaka yako au pengine baba yako mdogo au pengine baba yako (kutegemea na umri wangu)
1. Never ever kumcheka au kumdhikahi kilema. Hii iwe mwanzo na mwisho! Usiinue mdomo wako tena kumdhihaki kilema. Mbaya zaidi huyo unaemdhihaki hakuzaliwa na mapungufu ila kuna watu wabaya wamemsababishia hali hiyo tena ikiwa ni nje ya uwezo wake kujilinda.
2. usichukulie siasa kitu chepesi. Unaweza kuona umeshika dola, unaungwa mkono na tume ya uchaguzi na pengine ukahisi wananchi walio wengi watakuchagua. Usiseme ndani ya moyo wako na nje ya moyo wako kuwa 'fulani hatakaa ashike dola milele'. Jiepushe sana na huu usemi. Siasa huwa zinabadilika sana
Ahadi alizoahidi Magufuli 2015 ametelekeza?Tundu Lissu ni mlaghai wa kisiasa,
Anatumia maneno matamu kuwalaghai wananchi.
Niko sure anayoyaahidi ni hayatekelezeki almost. Hata akifanikiwa kuwa raisi yatampata ya Malawi.